Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi
Ila ujumbe umefika na ukweli uko wazi
 
Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.
Ukitaka kujua chema kinajiuza kibaya ndio kinapigiwa promo ili kiwe kizuri basi ndio kama hivyo. Hayati ameshinda tena kwa awamu ingine.
 
Hapo kwenye nchi tumia neno wezi/mafisadi nchini
Mkuu unaona hawa propagandist ni bado tu wameshikwa na butwaa.

Hawaamini, kwa fedha na rasilimali-keyboard zao nyingi walizozitumia bado wananchi wanamkumbuka J.P.M(r.i.p), itoshe, wanafadhaika.

Ni kweli usiopingika;Magufuli ni Jiwe haswa, na ni ukweli pia, Wezi na Mafisadi ndio waliofiwa kiuchumi.
 
Managing Editor

Alishindwa nini ku reverse matokeo kama tume ya uchaguzi
 
Wanaosema wao ndio wenye vigezo vya kutosha na vya kisayansi zaidi kuendesha zoezi hili, wabandike hapa.

Tiyone!
 
Mzee makoti wewe huna maana kwa sababu Dkt Magufuli ni mshindi na sisi watanzania we are proud of him even in his death, yaani we believe in Dkt Magufuli! Pole sana ndiyo hivyo
Vizur, mchukueni gwaji boy akalijaze upepo amalizie ingwe yake, sisi tunasimama na madam ambae ana hofu ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…