Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Wewe mwenyewe mjinga tu!

Hili zoezi hata likirudia sasa na wewe upige kura, bado mtaangukia pua, wajinga nyinyi
Mimi sio mjinga ndio maana sio supporter wa JPM. Issue hapa sio kura ila ni kutokujua unapigia nini kura. Ni sawa na mtu aseme unaonaje sera ya uchumi ya ACT na CHAUMMA ipi ni bora? Sasa hapo unapigia aina ya uongozi au sera!!

Hapo wengi wanapiga kura wakifikiria utumbuaji, kujenga miundombinu ni sera!! Na ndio hao wajinga nao waongelea hapa.

Lakini sera zingefafanuliwa, ya JPM ni contractual yaani kodi juu, matumizi machache, kuzuia ajira ili kupunguza wage bill, serikali kufanya biashara, unapangwa na serikali kuu n.k

Ila Mama Samia sera yake ni expansionary policy yaani mzunguko wa pesa unaongezwa kupitia matumizi makubwa ya serikali, ajira kuongezwa, sekta binafsi kuhusishwa kwenye kuchochea uchumi, kuruhusu ushindani wa private sector dhidi ya taasisi za serikali na mambo kibao.

Sasa hapa kwa mwenye akili timamu atachagua nini?

Sasa watu wanapigia kura aina ya uongozi sio sera ndio maana nawaona hao ni wajinga tu sababu hawajui wanapigia kura nini.
 
Hata mume wenu mbowe akiwekwa dhidi ya JPM lazima aliwe kichwa na wananchi
 
Wewe uko kwenye payroll, hii nchi sio ya kikundi cha wezi na wahujumu uchumi wasiozidi hata million 3 ya whole population.

There is about 58 million lives for fvcks sake who also need to live a good life with atleast attaining 50% life standard of the 3 million segment. Do you really think this kind of leadership will lead us there?

Regardless of the fvcked up Constitution and the gluttons that feed on the national bread and butter most of us yearn for a President that will give a shiyt about the godamn residents at large. A president that not only clings to a Cartel of gangsters that co-operate to steal the governments hard earned money backed up by Statutory Taxes that are collected through the citizens or other government agencies and authorities.

For the clarity, we don't have that kind of President for now, just to be precise. Sorry but i gotta to tell you this, its going to be really hard for you and your fellow motherfvckers to win peoples hearts especially the oppressed. You still have cards for the 3% rich society tho!!!
 
Ha ha.

Kunywa uji tu kwa leo. Live to fight another day.
 
PSRC ili privatize 176 public firms hata hayo uliyonitajia hapo juu Umma unamiliki hisa ngapi? Ben mwenye kwenye kitabu alikiri utaratibu ulikuwa mbovu halafu wewe unatetea.
Sasa kati ya makampuni 176 yaliyokuwa yanatia hasara yakauzwa, na kati ya hayo 5 yanakupa kodi na dividend ya kutosha, kwa nini usiridhike na hayo matano?

Mkapa alikubali kwenye kitabu chake kuwa alikosea kuweka mfumo wa M & E katika kuhakikisha mashirika yanafanya kile kilichokuwa kinafanyika kabla ya kuuzwa.

Lakini hoja ya kuuza mashirika ilikuwa hana namna lazima ayauze tu
 
Hela zilionekana lakini kwenye hio money policy kuliko hii ya kujaza hela kwa mafisadi.
 
Yeah na ndio maana huwezi kuona wakikubali ukweli.

Baba anayethamini marafiki zake wa kilabuni kuliko familia hawezi kukubalika kama baba anayesaidia familia yake na ndugu zake kuondokana na hali mbaya ya kimaisha.
 
Lete utafiti huo? Lisu hawezi kumzidi Magufuli kwa chochote!
Huyo Zitto unayemtumikia alojaa udini ndo maana unamuona kanyamaza licha ya masaibu ya watu kupotea na kufukuzwa kwenye makazi yao kama tunavyoshuhudia Ngorongoro!
Ngorongoro lazima Wamasai watoke. Walipelekwa kutoka Srrengeti na Mkoloni kabla ya Uhuru wa Tanganyika ili kuifanya Serengeti eneo la hifadhi. Kwa hiyo usidanganyike kuwa Ngorongoro ni kwao. Waende Handeni Serikali imewaandalia makazi yanayofanana na binadamu
 
Tuanzishe nini? Mbona wewe Huwa unaanzisha na Bado hiyo Pua hatujawahi angukia?

Unategemea Wale waliokuwa wanaharibu Hifadhi ya Ngorongo watampogia Samia kura?

Mwendazake alikuwa Rais wa watu mafukara na wengine waliokata tamaa ya maisha.
Sawa, population ya hao unaoita mafukara na hao matajiri ikoje? Nipe uwiano wao...
 
Taratibu tutaelewana tu, huyo mwehu hata kukutana na Magu in person hajawahi ila kakaa kishabiki mandazi tu. Mama atakuja kugundua ila ni too late kwamba alizungukwa na chui kwenye ngozi ya kondoo.
 
Hayo mapato una hakika gani yapo hivyo na sio data za kupikwa kama kawaida?😂 Maana za kipindi kile mlisema zimepikwa.
 
Kiufupi the right transition ilikuwa ni kutoka kwa Mkapa kwenda kwa Magufuli. Nchi ingekuwa imeendelea sana maana kipindi cha mkapa kulikuwa hamn upuuzi upuuzi serikalini.
 
Ila ex seminarian wa Katoke asingekuwa na vya kuua ua kisa demokrasia na kupenda kuongoza nchi kama familia ni alikuwa na uthubutu wa kutupeleka sehem!
Basi tu ujasiri bila maarifa huzaa msiba!
Kuua hizo ni propaganda sababu muda wote alikuwa on spotlight. Alimuua nani? Mtu ambaye muda wote yupo ziarani na ofisini tu. Kama waliua ni subordinates wake labda. Vya kutumbua wote tulishuhudia iwe kwa uonevu au kwa haki ila wote tuliona ila vya kuua siafikiani navyo. Ni propaganda kama zilizotumika kumuua Gadafi Libya.
 
Umeamua kufunguka kwa uchungu mkubwa sana!
Kuna watu wanaamini wakimponda sana JPM ndo watapata amani!
Kinana alipkuwa Mara majuzi hapa alisema siku hizi wanakusanya kodi bila kuumiza watu lakini hakusema kwa nini wanakopa sana na mambo bado magumu!
Hakika walishashindwa na JPM na itabaki hivo duniani na mbinguni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…