Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Lakini huwezi kuwasikia wanasema watu wanaopotea saizi wanapotezwa na Rais Samia lakini wote waliopotea kipindi ya JPM wote alikuwa anawapoteza yeye! This is high level of hypocrisy!
 
Yani hii awamu wanajisifia vya uchumi wakati wanapokea mikopo kila kona na wazungu wamefunguka wanatoa hela tu sababu wameona head of state anaingilika. Hata wakitaka kuingiza ajenda zao za kipuuzi zitakubalika tu. Hizi trillions walizomwaga awamu hii zingemkuta hayati yupo hai amini kwamba maendeleo ambayo tungepiga yangekuwa ni mara mbili ya alivyoviacha sasa ubaya walikuwa wanambania hela sababu sera za zao za kipuuzi alikuwa haafikiani nazo esp. ile ya Covid ndio iliwauma sana wazungu.
 
Lakini huwezi kuwasikia wanasema watu wanaopotea saizi wanapotezwa na Rais Samia lakini wote waliopotea kipindi ya JPM wote alikuwa anawapoteza yeye! This is high level of hypocrisy!
Eeh imagine yale ya Ngorongoro sahizi ingekuwa JPM yupo kwenye utawala yangekuwa yasharushwa hadi BBC ila ajabu hutasikia kitu. Watu wanauliwa kama Nguruwe kule and nobody cares.
 
Kwa jinsi walivyo machawa walitegemea kura zitamwangukia Samia!
 
You must be stupid.
 
Na hii unayoipendekeza wewe hapa, ilete watu wapige kura uone hayati anavyowapiga walio hai
 
Jiwe nae alikuwa fisadi tu sema alithibiti Bunge, Mahakama na Vyombo vya habari pamoja na whistleblowers.
Alikuwa fisadi ila je, alisahau wajibu wake kama raisi na kiongozi? Mkapa did the same alijenga mahoteli Dubai na South Africa. Je, hakuwajibika kama raisi?
 
Umetumia kanuni gani kuita the rest of Tanzanians wajinga?

You must have a major problem upstairs! Magufuli ndiye aliye introduce EGA na mfumo wa malipo ya control number na makusanyo yalitoka 800B mpaka 1.5T maana kuna hela nyingi ilikuwa inapotea sababu hakukuwa na usimamizi mzuri wa makusanyo.

Kumbuka pia wafanyabiashara ambao walikuwa na cleansheet ndio walikuwa miongoni mwa hio 1.5T maana alifagia wahujumu uchumi kwa kiwango kikubwa na wenye vimeo walisepa.
 
Chawa kuu la mama achana nalo mkuu
 
Huna hoja lazima ukimbilie kwenye matusi πŸ˜‚πŸ˜‚

Narudia kukwambia Samia is way better than Magufuli,nakupa takwimu ndogo tuu hapa πŸ‘‡View attachment 2973828
Huu uchumi wa porojo ndio hatuuhitaji. Fanya vitu tu watu wataona. Huna haja ya kujaza takwimu za kupika pika data ili uonekane relevant. JPM alifanya yake na tumeyaona, huo uchumi wa kujisifu kujenga vyoo vya mashimo na madarasa hauna mashiko.

Kiufupi kawaida pesa ikiwepo utaona mtu tu anajenga ghorofa na kutembelea range rover na benz. Sio kuringishia vyeti vya Wales University ili aonekane msomi.
 
Porojo zipi wewe pimbi? Kwani wewe huoni? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa linganisha bln 700 Kwa miaka 3 vs Bilioni 700 miaka 5.. Maneno mengi sana ila takwimu zinawakataa.

Mnapora watu pesa unaleta stori za ega 😁😁

Na hakika hata tukilinganisha na JK lazima atamzidia Mwendazake bila hata hizo ega na porojo zingine πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee! Nimecheka sana. Wajinga wameshatishwa na mamlaka tayari. Wamefata mkia kama Mbwa Koko. Ila Siwalumu. Machawa wa Samia wako kazini.
 
Payroll ipi Sasa Mimi nalima mahindi huku Mpimbwe na tunauza.kwa bei nzuri ya Samia.

Yaani unanilazimisha nimpambe mtu ambae hakuwa na Msaada Kwangu?

Mwisho usipotoka Wala kupata kazi awamu ya Mama hesabu hasara maana watakuja wapuuzi wengine kutoka hiyo dini yenu ya kitapeli kuharibu maisha ,subiria Samia atoke utaona.
 
Kwahio kumbe unatetea sababu uko kwenye advantage bila kujali kwamba kuna wengine ambao hawauzi nafaka ila wanaumizwa na utawala uliopo usiojali raia masikini. Now I get it!!!
 
Mshono upi anaoupiga km matokeo madogo tu ya kigazeti yanawatoa jasho mpka yanarudishwa yakahaririwe??? Acheni kujidai mbuni🀣
Huo huo niliokuonesha hapo Juu, Magufuli alishindwa alikuwa anasingizia Sgr 🀣🀣

Nyie wajinga Mimi hamnisezi maana nakupeni facts nyie mnaleta tantalila 😁😁
 
Mkuu huna baya, hapa sahizi nimeelewa kwanini unapambania kombe 😁
 
Kina nani wameporwa?


Taja kwa majina yao hapa kama wewe kweli si roboti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…