Mimi sio mjinga ndio maana sio supporter wa JPM. Issue hapa sio kura ila ni kutokujua unapigia nini kura. Ni sawa na mtu aseme unaonaje sera ya uchumi ya ACT na CHAUMMA ipi ni bora? Sasa hapo unapigia aina ya uongozi au sera!!
Hapo wengi wanapiga kura wakifikiria utumbuaji, kujenga miundombinu ni sera!! Na ndio hao wajinga nao waongelea hapa.
Lakini sera zingefafanuliwa, ya JPM ni contractual yaani kodi juu, matumizi machache, kuzuia ajira ili kupunguza wage bill, serikali kufanya biashara, unapangwa na serikali kuu n.k
Ila Mama Samia sera yake ni expansionary policy yaani mzunguko wa pesa unaongezwa kupitia matumizi makubwa ya serikali, ajira kuongezwa, sekta binafsi kuhusishwa kwenye kuchochea uchumi, kuruhusu ushindani wa private sector dhidi ya taasisi za serikali na mambo kibao.
Sasa hapa kwa mwenye akili timamu atachagua nini?
Sasa watu wanapigia kura aina ya uongozi sio sera ndio maana nawaona hao ni wajinga tu sababu hawajui wanapigia kura nini.