Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Hii ni sawa sawa mtu aulize tende na muwa kipi ni kitamu zaidi halafu ategemee mtu amjibu muwa halafu majibu yanakuja kinyume.
Nashukuru sana kwamba leo/jana umecheka sana mkuu 'Extrovert' kila uliposoma yaliyochangiwa kwenye mada hii.

Mwananchi wamejiaibisha sana.
 
Nashukuru sana kwamba leo/jana umecheka sana mkuu 'Extrovert' kila uliposoma yaliyochangiwa kwenye mada hii.

Mwananchi wamejiaibisha sana.
nimecheka mno😁 hao jamaa msamaha wao hauna tofauti na ule wa mtoto wa kike ..."basi yaishee"
 
Huyu mama alikua anatakiwa sio kuvuliwa wadhfa tu na mwananchi kila kitu yan nchi haieleweki eleweki
 
Uwanja wa Taifa watu wafurika raia kushuhudia maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania mgeni rasmi akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

View attachment 2974260
Taratibu ujumbe unafikishwa mahali husika; lakini hatari ya hii ni kuwa sasa watajikita kwenye njia zao za haramu zaidi ili wabaki madarakani kwa lazima.
Ni wazi sasa hizi lugha nyororo na uchawa mwingi havifanyi kazi waliyotegemea.
 
Kuweni wazalendo si mnaona uwanja ulivyofurika leo jijini Dar es Salaam, kuonesha wananchi wanavyoafiki sera nzuri za serikali yetu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂
 
Tiny drop of water in the ocean compared to Magufuli
 
Bara bara za mtaa utafafanisha na morogogoro highway!? Au vidaraja vya miguu utafafanisha na kigongo busisi?!🚮
 
Umia sasa😂😂😂😂😂😂😂
 
Eti SGR na JNHHP havina impact Kwa mwananchi? Stup!d
 
Hata mume wenu mbowe akiwekwa dhidi ya JPM lazima aliwe kichwa na wananchi
JPM yupi? Yule muoga vile wa upinzani. Kama ni mwanaume kweli why alizuia upinzani usifanye siasa? Jitu likiwa hai limuogope Mbowe ndio aje kumuangusha akiwa mzoga?

Get serious
 
Na hii unayoipendekeza wewe hapa, ilete watu wapige kura uone hayati anavyowapiga walio hai
Mambo ya kitaalamu hayaamuliwi kwa kura, huwezi muuliza darasa la saba apigie kura sera ya uchumi wakati haelewi maana yake!! Kazi ya mwananchi ingeeleza sera ni nini na kuziainisha pale. Hakuna timamu angempigia JPM? yaani majobless enzi za JPM wampigie kura waache expansionary policy ya Mama Samia iliowaajiri mara 10 ya ajira za JPM? Get serious
 
Hela zilionekana lakini kwenye hio money policy kuliko hii ya kujaza hela kwa mafisadi.
Zilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…