Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Naweza nikawa stupid, ila wewe kwenye kichwa umejaza kamasi tuYou must be stupid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza nikawa stupid, ila wewe kwenye kichwa umejaza kamasi tuYou must be stupid.
Ndio zaidi ya 60% ya watanzania.Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Nashukuru sana kwamba leo/jana umecheka sana mkuu 'Extrovert' kila uliposoma yaliyochangiwa kwenye mada hii.Hii ni sawa sawa mtu aulize tende na muwa kipi ni kitamu zaidi halafu ategemee mtu amjibu muwa halafu majibu yanakuja kinyume.
nimecheka mno😁 hao jamaa msamaha wao hauna tofauti na ule wa mtoto wa kike ..."basi yaishee"Nashukuru sana kwamba leo/jana umecheka sana mkuu 'Extrovert' kila uliposoma yaliyochangiwa kwenye mada hii.
Mwananchi wamejiaibisha sana.
Taratibu ujumbe unafikishwa mahali husika; lakini hatari ya hii ni kuwa sasa watajikita kwenye njia zao za haramu zaidi ili wabaki madarakani kwa lazima.Uwanja wa Taifa watu wafurika raia kushuhudia maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania mgeni rasmi akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 2974260
Hao raia waliofurika ni wapi?😂😂😂 hii imeendaUwanja wa Taifa watu wafurika raia kushuhudia maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania mgeni rasmi akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 2974260
Nimekwambia utaje alichofanya Samia for 3 years! Acha matusi nyoka ww.Wewe takataka ,Lini hiyo Samia amewahi kuwa na Kikwete? Hapa tunalinganisha Samia na Magufuli au Magufuli na Kikwete?
Mijitu kijinga Huwa logically zero.Njia aliyowekewa na Magufuli njia ipi? Umeona Samia anapora watu hela?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂Kuweni wazalendo si mnaona uwanja ulivyofurika leo jijini Dar es Salaam, kuonesha wananchi wanavyoafiki sera nzuri za serikali yetu.
Tiny drop of water in the ocean compared to MagufuliNdio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa
-Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano?
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za mtaani za lami na taa Juu?
-Kwani itafuta ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za lami kwenda Zambia na Bonde la Rukwa?
Yaani huo ni mfano mmja tuu ya yaliyofanyika Kwa miaka 3 hayakuwa kufanyika kipindi Cha Magufuli miaka yote 5.
Sasa ipo hivyo Mikoa yooote Tanzania hii.Narudia kukwambia kwamba Samia ni zaidi ya Magufuli ni upende au usipende ndio ukweli huo.
Bara bara za mtaa utafafanisha na morogogoro highway!? Au vidaraja vya miguu utafafanisha na kigongo busisi?!🚮Ndio maana nakwambia kwani wewe ukisema Magufuli ndio better itaondoa ukweli kwamba kule Rukwa
-Samia amefungua Barabara Vijijini ambavyo vilikuwa havina mawasiliano?
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga uwanja wa ndege wa Sumbawanga
-Kwani itaondoa ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za mtaani za lami na taa Juu?
-Kwani itafuta ukweli kwamba Samia anajenga Barabara za lami kwenda Zambia na Bonde la Rukwa?
Yaani huo ni mfano mmja tuu ya yaliyofanyika Kwa miaka 3 hayakuwa kufanyika kipindi Cha Magufuli miaka yote 5.
Sasa ipo hivyo Mikoa yooote Tanzania hii.Narudia kukwambia kwamba Samia ni zaidi ya Magufuli ni upende au usipende ndio ukweli huo.
😂😂😂😂😂🙌 Yaani hii mm sijawahi ona!Mfu amewashinda walio hai, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mabwakuuu.
Unajua udhaifu wa shillingi unavyoumiza wananchi kiuchumi?Kwani Shilingi ya Tzn kuwa dhaifu imeanza Leo?
Mwisho udhaifu wa Shilingi Imezuia miradi ya serikali na Huduma za jamii? 😂😂
Niwaonee huruma Kwa sababu zipi? Wewe huko kwenu Chunya kazi ya mama hujaona? Au unajibalaguza hapa?
Ona Chunya ilivyokuza Mapato ya ndani chini ya Uongozi wa mama hapa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C5iCLtKNKkU/?igsh=eHhqMGVtczBtanM1
Unajua sababu? Mama amegawia mtambo wa kutafuta Madini wachimbaji wadogo huko na pia Soko la Madini limejengwa ,Kituo Cha GST na umeme umepelekwa Kwa wachimbaji wadogo bila kusahau Huduma zingine.
Pia mama amefufua Kilimo Cha tumbaku huko Chunya ,saizi Tzn ni ya kwanza Afrika Kwa Kuzalisha tumbako.
Harafu anatokea mjinga mmja na Kundi lake anaongea shit Kwa Samia
Eti SGR na JNHHP havina impact Kwa mwananchi? Stup!dMwendazake hana huo ubavu wa ku deal na maisha ya watu yeye alikuwa busy na Sgr,bwawa na mambo kama hayo ambayo hayana maana Kwa maisha ya individuals wa huko Chunya,Katavi and the likes.
Mali ipi imeuzwa na Kwa bei gani? Hata Mkapa mlisema ameuza Mali ya Nchi ila ndio hizo Bado zipo 🤣🤣
History is a good teacher.Huu ni uchonganishi.
He's no more.
Hivi kweli mnawezaje kumlinganisha marehemu na mtu yuko hai. We know alifanya ila hayupo, let him Rest well.
Hilo gazeti ni dhaifu
JPM yupi? Yule muoga vile wa upinzani. Kama ni mwanaume kweli why alizuia upinzani usifanye siasa? Jitu likiwa hai limuogope Mbowe ndio aje kumuangusha akiwa mzoga?Hata mume wenu mbowe akiwekwa dhidi ya JPM lazima aliwe kichwa na wananchi
Zaidi ya stupid.Eti SGR na JNHHP havina impact Kwa mwananchi? Stup!d
Mambo ya kitaalamu hayaamuliwi kwa kura, huwezi muuliza darasa la saba apigie kura sera ya uchumi wakati haelewi maana yake!! Kazi ya mwananchi ingeeleza sera ni nini na kuziainisha pale. Hakuna timamu angempigia JPM? yaani majobless enzi za JPM wampigie kura waache expansionary policy ya Mama Samia iliowaajiri mara 10 ya ajira za JPM? Get seriousNa hii unayoipendekeza wewe hapa, ilete watu wapige kura uone hayati anavyowapiga walio hai
Zilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.Hela zilionekana lakini kwenye hio money policy kuliko hii ya kujaza hela kwa mafisadi.