Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Vitu vingine huwezi kuwauliza watu... swali kama hili ukiuliza kwa siri jibu mbona halifichiki
Ni kama vile dhalimu magu alivyopiga propaganda muda mrefu kuwa anakubalika, ilipofika wakati wa uchaguzi akapora uchaguzi!
 
ChoiceVariable njoo hizi kura za mara ya pili,mnapigwa "backshot" na uchawa wenu. Huyu jamaa pale X kaendesha kura za maoni kama zile za gazeti la mwananchi,sasa hivi droopy eyes kapata tatu😂😂😂😂 manina 🤣🤣🤣🤣🤣


 
Angekuwa anakubalika asingekufa. Huyu hakutakiwa na Mungu mwenyewe.
Hahahaha mwaka huu utakoma! Kuwa chawa ni kazi sana!
Hata wewe muda wako utafika Mungu hatakuhitaji kwa hiyo utakufa!
Samia bado anavuta mkia kwa asilimia tatu!
 
Wakati huo huo angekuwa juu mtu wenu mngetukana kwa matusi yote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Samia kapata 3!
 
Chawa una haha hatari

Hivi mwaka 2025 utaenda na zitto au utaenda na mamayo
 
Kama watanzania kwa wingi wao walikuwa wanamsifia Nyerere ni kiongozi Bora huku wanavaa viraka, hapo utatumiaje wingi wa wengi kuwa ndio mtazamo sahihi?
Hi ndio imekuwa hoja yangu tangu Mwanzo,ujue mbumbumbu Huwa ni watu punguani sana ,wanafukarishwa Kwa Watoto wao kutopata Ajira,Kilimo kinapuuzwa walikojaa,hawana uhuru wa kutoa maoni na kuhoja,wachache kwenye Utawala wanajitajirisha, mazingira ya biashara yameharibiwa walikuwa wanafunga Kila kukicha,lakini hao watu wanasema sera za Magufuli zilikiwa Bora unaishia kushangaa ila ukikumbuka kwamba Dunia na Tzn in particular imejaa wajinga wengi unawaacha hivyo hivyo.

Watu wa hivyo hata iwape takwimu na uhalisia Bado watabisha kung'ang'ania ujinga wao 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…