Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kama unalia kwa mambo ya kijinga basi JF siyo mahali pakoAchana na kingereza cha ugoko angalia takwimu hizo samia ameambulia zero.
Nimelia mno na venye nampenda samia ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unalia kwa mambo ya kijinga basi JF siyo mahali pakoAchana na kingereza cha ugoko angalia takwimu hizo samia ameambulia zero.
Nimelia mno na venye nampenda samia ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
We hujaliaa? ðŸ˜ðŸ˜Kama unalia kwa mambo ya kijinga basi JF siyo mahali pako
Mwananchi wamekosea kuomba radhi.Hakuna sababu kurudiwa kwani kosa liko wapi. Pingine wakaehadi mwaka au angalau miezi sita ili kuangalia kama opinion imesaidia marekebisho ingawa matokeo rasmi chanya hayatajionyesha.
Hivi hapo angeongoza nani liu sidhani kama Mwananchi wangetakiwa kuomba radhi, yaani ingekuwa ni kumwagiliana misifa hadi kupitiliza. Ukipenda kusifiwa basi uwe tayari na kupondwa, hakuna mwanadamu aliye mkamilifu kwa kila kitu.Timu jiwe-mataga watajivuna na kurusha maneno sana kwa kina ChoiceVariable Stuxnet chiembe na FaizaFoxy
Na wakati wanaanzisha hizo kura za maoni hakuna aliyepinga na kulikataza hilo gazeti na walitegemea matokeo ya luwapendelea wao, baada ya matokeo kuwa kinyume isha kuwa taabu, daima matendo huonekana bila ya hata kusifiwa. Ni kama namuona mvaa tai ya bendera ya taifa alivyofura.Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Hili gazeti ni tofauti kwa maili nyingi na hayo magazeti ya utopolo mwenye hayo magazeti ni Agakhan hana njaa na shida ya kupindisha maneno.Magufuli akiwa amelala kaburini chato bado anawagalagaza timu wazuri hawafi, nyumbu wa ufipa na mashoga zao wa ulaya halali mnune kila jina lake likitajwa.
Hilo gazeti Yoda nalo linamilikiwa na sukuma gang!?
Na hasa tunapoona bwawa la Nyerere, miundo mbinu kila kona, shida za umeme, vitu na maisha kuwa ghali na kukata mirija ya akina wazuri hawafi na genge lao.JPM kusahaulika mioyoni mwa watu ni kazi sana
At what condition(s) do number lie?Number sometimes do lie
Hahahaaahaa 😂Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono 🤒🤒🤒🤒.
Watadhaliloshwa watu kweupeeeeeNashauri wafanye kuweka sawa vigezo alafu irudiwe.
😀😀😀😀, Naam mkuu.Hahahaaahaa 😂
Kwa haya matozo wangekuwa makini wangekusanya trilioni 4 kwa mwezi.Mama samia amekuja imefika 2 Trillion sasa kama mnadai watu hawalipi kodi sijui JPM alibana wakwepa kodi, mbona mapato hayashuki?
Hapo wameshakula kitisho kwamba watafungiwa biashara yao.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maiti inawaburuza!Hamna lolote mnafanya, mbona mlisema hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM ila akazoa kura zote. Huyo Mpina alikua mpiga kelele cha ajabu aliangushwa NEC mkoa na taifa na hakuna kitu mlifanya sukuma gang kumuokoa mwenzenu.
Mtu unashindajishwa na maiti kisha maiti inashinda?Ushahidi huu hapa, huyo JPM hamfikii Samia kwa ukusanyaji mapato ingawa hateki, hafungii biashara wala kufoka kwenye makamera.
Compare na data za JPM mwaka wake wa mwisho 2019/2020.
Chawa una kazi leo kumtetea mamayo huyu alieshindwa na maitiZilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.
Na marehemu?Watadhaliloshwa watu kweupeeeee
Vitu vingine huwezi kuwauliza watu... swali kama hili ukiuliza kwa siri jibu mbona halifichiki😂 Hata wasemeje
Tayari
Message sent and delivered
Swallow that bitter pill old man 😂😂😂😂@ChoicevariableI can't be a son to you. Instead I am of the age of your dad. I could beget you if I would have met your mom before your dad