Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Timu jiwe-mataga watajivuna na kurusha maneno sana kwa kina ChoiceVariable Stuxnet chiembe na FaizaFoxy
Hivi hapo angeongoza nani liu sidhani kama Mwananchi wangetakiwa kuomba radhi, yaani ingekuwa ni kumwagiliana misifa hadi kupitiliza. Ukipenda kusifiwa basi uwe tayari na kupondwa, hakuna mwanadamu aliye mkamilifu kwa kila kitu.
 
Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Na wakati wanaanzisha hizo kura za maoni hakuna aliyepinga na kulikataza hilo gazeti na walitegemea matokeo ya luwapendelea wao, baada ya matokeo kuwa kinyume isha kuwa taabu, daima matendo huonekana bila ya hata kusifiwa. Ni kama namuona mvaa tai ya bendera ya taifa alivyofura.
 
Magufuli akiwa amelala kaburini chato bado anawagalagaza timu wazuri hawafi, nyumbu wa ufipa na mashoga zao wa ulaya halali mnune kila jina lake likitajwa.
Hilo gazeti Yoda nalo linamilikiwa na sukuma gang!?
Hili gazeti ni tofauti kwa maili nyingi na hayo magazeti ya utopolo mwenye hayo magazeti ni Agakhan hana njaa na shida ya kupindisha maneno.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Hapo wameshakula kitisho kwamba watafungiwa biashara yao.
Ukweli ni kwamba, hakuna mtu yeyote kwa sasa anaweza kushindana na JPM halafu mtu huyo akashinda.
JPM ni JIWE WALILOKATAA WAASHI. Kila atakayejikwaa katika jiwe hilo ataumia sana na yule litakayemwangukia jiwe hilo atasagika kama uji.
Kwa kifupi, Mungu si mnafiki.
 
Hamna lolote mnafanya, mbona mlisema hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM ila akazoa kura zote. Huyo Mpina alikua mpiga kelele cha ajabu aliangushwa NEC mkoa na taifa na hakuna kitu mlifanya sukuma gang kumuokoa mwenzenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maiti inawaburuza!

Chawa wa mama mna kazi sana
 
Ushahidi huu hapa, huyo JPM hamfikii Samia kwa ukusanyaji mapato ingawa hateki, hafungii biashara wala kufoka kwenye makamera.

Compare na data za JPM mwaka wake wa mwisho 2019/2020.
Mtu unashindajishwa na maiti kisha maiti inashinda?

Hatuna rais hapa.
 
Zilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.
Chawa una kazi leo kumtetea mamayo huyu alieshindwa na maiti
 
I can't be a son to you. Instead I am of the age of your dad. I could beget you if I would have met your mom before your dad
Swallow that bitter pill old man 😂😂😂😂@Choicevariable

20240426_215212.jpg
 
Back
Top Bottom