Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Wanyonge, walala hoi wala mihogo hawana access na The Citizen. Wote tunajua aina na haiba ya watu wanaofuatilia Media kama hiyo.
 
Sema kura itakuwa imepigwa na vijana wengi wa 2000 na watu flani hivi wa vijijini ndio maana matokeo yapo hivyo.
1. BM
2. JK



3. SSH


4............
Watu wa vijijini na The Citizen wapi na wapi shekh. Na kama kura wakipiga wa vijijini, watu kama SSH hawataambulia kura yoyote.
 
😂 😂 😂 Chawa unajitahidi ila watu ndio wamegoma mama hakukaliki.

Hadi maiti imemgalagaza
 
Malikia wahuni eanajipigia tu.

Akikosa hela anatafuta kitu cha kuuza anauza kwa waarabu, maana mikopo alikuwa anajikopea tu hadi watu walipo piga kelele.

Alipoona vitu vya kuuza vimeisha akaingia kwa wanyonge kuwakamua kodi kwenye LUKU eti kodi ya jengo

Machawa yanajitahidi kumpaka mafuta ila wapi
 
Watu wa vijijini na The Citizen wapi na wapi shekh. Na kama kura wakipiga wa vijijini, watu kama SSH hawataambulia kura yoyote.
Wale walioaminishwa kuwa unyonge ni sifa ya kujivunia
 
Samia anakubalika na wala rushwa pekee
 
Nilijua mapema na nilisema walio hai kushindanishwa na wafu haya mmemvua nguo mtu, waendelee kucheza na jina Mwendazake kwenye ajenda zao watadhalilika sana!
Sukuma gang mtapata tabu sana mwaka huu
 
Hawana sababu za msingi za kuomba radhi
 

Attachments

  • IMG-20240506-WA0016.jpg
    49.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…