Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura za mtandaoni hazina magumashi, maana hata vyura wadogo nao wanapiga upande wa raia.Walifikiri chura kiziwi atashinda wale machawa wake wa mtandaoni walitamani wapige kura mara mbili mbili lakini wapi...Mkizimkazi miguu juu.
Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tuThis was nonsense.The poll remain true,wametishiwa,it is obvious.Mugufuli remains the best President we have never heard,and will probably remain the best for many decades to come.
Punguani kwa vile alikomesha wizi wako sio,pole sana.Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tu
Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tu
Shame on you. You should not conduct any other poll because you are not interested in a fair and correct outcome. Look what mess Mkapa did in the privatisation of state owned companies and corporations and Kikwete's corruption scandals like epa, richmond, and many others. On the other hand Samia is handing over ports airports and national park lands to foreigners particularly Arabs contrary to the law of the country. All these actions by the three presidents had and have negative impact on the wellbeing of common people that you ask to respond to your poll.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973699
Ni umma wa wananchi kuliko nyinyi wezi na wapigaji wa umma mliyoshereheka alipokufa.Mlioliwa na Magufuli mna hasira sana
Wengi ni vijana hawamjui Nyerere labda na Mwinyi. Kwa hivyo Nyerere kawashinda Mkapa na Kikwete ila lililo sahihi na kwa hisia sahihi ni kura za Magufuli ambaye wamemuona. Sasa hawa kichwa maji wanataka kulazimisha matokeo hadi wengine kina kipara wamechukiwa hadi imebidi watimuliwe.Watakuwa wamekoromewa...
Ila ujumbe ushafika!
Na hii vita ni kubwa: Wafu vs. Walio hai!
View attachment 2974509
Wewe huna tatizo ila tatizo ni uchi ulioku-push una maji mengi sana.Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tu
Ni punguani kwa vile alikuwa anaiponda COVID-19 kwa kudharau wanaovaa barakoa, na COVID-19 hiyo hiyo ikamuuaPunguani kwa vile alikomesha wizi wako sio,pole sana.
Na yeye analiwa na sisimizi na minyoo huko ChatoMlioliwa na Magufuli mna hasira sana
Hahaha! Hii kali!Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono 🤒🤒🤒🤒.
Aisee,kweli wajinga ndio waliwao,yaani uliamini kabisa kwamba kulikuwa na Covid!Hivi nikikuuliza una proof gani ya kisayansi kama Covid ilikuwepo unaweza ukanijibu kweli? Kwa nini mna tabia ya kuamini kila uongo unaoletwa,please be diagnostic.Ni punguani kwa vile alikuwa anaiponda COVID-19 kwa kudharau wanaovaa barakoa, na COVID-19 hiyo hiyo ikamuua
Nitakuonyesha takwimu za mahospitali za watu walikouwa diagnosed, treated, admitted and died.Aisee,kweli wajinga ndio waliwao,yaani uliamini kabisa kwamba kulikuwa na Covid!Hivi nikikuuliza una proof gani ya kisayansi kama Covid ilikuwepo unaweza ukanijibu kweli? Kwa nini mna tabia ya kuamini kila uongo unaoletwa,please be diagnostic.
Kura si ndio zimesema hivo mkuu? Huyo unae mkejeri unamuonea bure tu.Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tu
Umenikumbusha kuhusu sera za majukwaani ambazo husababisha changamoto, (uncertainty), napenda sana kula koroshoGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973699
Kura lazima ziwe kisayansi. Ungekuwa umesoma Takwimu ukajuwa mambo ya sample size, sampling frame, population, standard deviation, sampling error, usinge unga mkono huo UGOROKura si ndio zimesema hivo mkuu? Huyo unae mkejeri unamuonea bure tu.