Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Walifikiri chura kiziwi atashinda wale machawa wake wa mtandaoni walitamani wapige kura mara mbili mbili lakini wapi...Mkizimkazi miguu juu.
 
Walifikiri chura kiziwi atashinda wale machawa wake wa mtandaoni walitamani wapige kura mara mbili mbili lakini wapi...Mkizimkazi miguu juu.
Kura za mtandaoni hazina magumashi, maana hata vyura wadogo nao wanapiga upande wa raia.
 
Mama alianza vizuri saana na hata watu wakamtabiria mazuri zaidi hata na upinzani wakaja na sera ya MAMA ANAUPIGWA MWINGI🤣🤣🤣🤣. Sasa nasema hivi leo hii kura zikipigwa tena hata hyo 7% hatopata
 
This was nonsense.The poll remain true,wametishiwa,it is obvious.Mugufuli remains the best President we have never heard,and will probably remain the best for many decades to come.
Acha kupayuka. Magufuli hawezi kuwa best president kwa Tanzania. Labda kea familia yako. Yule alikuwa punguani tu
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973699
Shame on you. You should not conduct any other poll because you are not interested in a fair and correct outcome. Look what mess Mkapa did in the privatisation of state owned companies and corporations and Kikwete's corruption scandals like epa, richmond, and many others. On the other hand Samia is handing over ports airports and national park lands to foreigners particularly Arabs contrary to the law of the country. All these actions by the three presidents had and have negative impact on the wellbeing of common people that you ask to respond to your poll.
 
Watakuwa wamekoromewa...

Ila ujumbe ushafika!

Na hii vita ni kubwa: Wafu vs. Walio hai!

View attachment 2974509
Wengi ni vijana hawamjui Nyerere labda na Mwinyi. Kwa hivyo Nyerere kawashinda Mkapa na Kikwete ila lililo sahihi na kwa hisia sahihi ni kura za Magufuli ambaye wamemuona. Sasa hawa kichwa maji wanataka kulazimisha matokeo hadi wengine kina kipara wamechukiwa hadi imebidi watimuliwe.
 
Ni Aibu sana kushindanishwa na maiti,, Alafu maiti ikaibuka na ushindi mnono 🤒🤒🤒🤒.
Hahaha! Hii kali!

Ila mfananisho siyo wa mwili mkuu😀

The body may die, but ideas will stay forever.
 
Ni punguani kwa vile alikuwa anaiponda COVID-19 kwa kudharau wanaovaa barakoa, na COVID-19 hiyo hiyo ikamuua
Aisee,kweli wajinga ndio waliwao,yaani uliamini kabisa kwamba kulikuwa na Covid!Hivi nikikuuliza una proof gani ya kisayansi kama Covid ilikuwepo unaweza ukanijibu kweli? Kwa nini mna tabia ya kuamini kila uongo unaoletwa,please be diagnostic.
 
Nitakuonyesha takwimu za mahospitali za watu walikouwa diagnosed, treated, admitted and died.

Ujinga wenu ndiyo maana mumekufa wote pamoja na John Kijazi, Magufuli, Maalim Seif, karani wa kuapisha, Mahiga etc
 
Kutoa objective opinion inaangalia vitu vingi
Umri wa waliopiga kura, shughuli zao, vipato n.k Siyo tu kwa kuwa mtu ana simu na uwezo wa kununua bundle ichukuliwe kuwa maoni yake yalikuwa objective. Viongezwe vigezo katika survey zingine zijazo
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973699
Umenikumbusha kuhusu sera za majukwaani ambazo husababisha changamoto, (uncertainty), napenda sana kula korosho
 
Kura si ndio zimesema hivo mkuu? Huyo unae mkejeri unamuonea bure tu.
Kura lazima ziwe kisayansi. Ungekuwa umesoma Takwimu ukajuwa mambo ya sample size, sampling frame, population, standard deviation, sampling error, usinge unga mkono huo UGORO
 
Back
Top Bottom