Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Hahaha! Hii kali!

Ila mfananisho siyo wa mwili mkuuπŸ˜€

The body may die, but ideas will stay forever.
Hata kama mkuu, Ni ishara tosha kabisa kuwa huyo sa100 hakubaliki. 😁😁😁
 
Samia na mfumo ulitaka matokeo yawe hivi:
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 1.5% sawa na Mwinyi, Mkapa kupata 2% na Magufuli kupata 2% huku Samia akipendwa kwa kishindo kikubwa sana kwa kupata 93%.
 
Safi sana mwanawane...ungambile english ili waelewe vizuri zaidi
 
Hivi kwanini tusije na system mpya ya kupiga kura Mitandaoni ya Urais, ubunge na kwenye serikali za mitaa?

Kila kura inayopigwa automatically, live inaonyeshwa kapigiwa nani, live update kila sekunde. Hapo tunaweza kupata matokeo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…