Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

TRA ipi hii hii ya hapa kwa makima au ya URA ya Uganda unazungumzia?
Kuna Jambo haujui ila kamuulize yule Mzee wako sea view au kule Mbweni ndio utajua haujui mmemsimanga
marehemu kuficha uovu wenu sasa mzimu umerudi upyaaa tunataka mfe wote Taifa libaki salama kwa faida ya vizazi vijavyo.
Nimeweka data za TRA tena, linganisha full mwaka wa mwisho wa JPM 2019-20 na Samia 2023-24 uone anavyomzidi JPM kwenye ukusanyaji mapato. Ndio nauliza kama JPM alikua anabana mianya, mkali, anakatamata wakwepa na kwamba mama hawezi kuwabana wakwepa kodi, kivipi mapato yanakusanywa zaidi?

Naomba ujibu hili swali
 
Attachments

Katika kitu cha muhimu kwa kila kiumbe hai akiwemo mwanadamu ni uhai. Kama Jiwe hakuthamini uhai wa wananchi wake (rejea :kuuwawa(maiti kwenye viroba) ,kutekwa( MO Dewji) kupotezwa (Ben Saanane) na kupigwa risasi (Tundu Lissu). Hata kama ukimsifia vipi, Jiwe bado anatiwa dosari na matendo yake hayo 🤔
 
Umemaliza kila kitu mkuu, na huu uzi ufungwe hapa🤣
Gazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!
 
?Wote wanaokufa hawakubaliki na Mungu sio? Mimi na ww tulio hai sasa hivi ndo tunakubalika na Bora zaidi ,bele za Mungu na hatutakufa milele? Akili za kindezi hizi🚮🚮
Siyo akili za kindezi bali ni akili kubwa. Magufuli aliiba uchaguzi wa 2020 na kuweka bunge lake chini ya Ndugai ili aje abadili katiba atawale milele. Kuna ushahidi wa kauli zake nyingi tu. 1.Mojawapo ni ile alikuwa anasema "mimi nikiondoka, je ni nani atajenga miundombinu"
2. Nyingine ni pale alipoitwa na akina Kabudi Mheshimiwa mungu au na Aggrey Mwanri "Mungu amshukuru Magufuli"

Pamoja na kauli nyingine nyingi Magufuli hakuthubutu kuwakemea au kuwakana wanaomwita mungu

Kingine ni kitendo cha yeye kuua wanaomkosoa. Yeye ni nani awatangulize wenzie kama Ben Saanane, Azory Gwanda!! Na jaribio la kumuua Tundu Lissu.

Ungekuwa una akili kichwani ungejuwa ni Mungu aliyemkataa Magufuli, maana alijipa u-Mungu mtu wa Tanzania

Alone Crimea na Etwege
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lazima unye dagaa

Naona wewe unaekubalika na Mungu uko hai
Aliiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge wa kumpitisha mwaka 2025. Ila Mungu alimuonyesha makali yake. Toka aibe kura wala hakuishi zaidi ya siku 120.
 
Ww ni mjuaji kuliko watu zaidi ya 20,0000?
Ndiyo. Watanzania by 90% ni wajinga tu. Mimi niko kwenye 10%, nimesoma na nina exposure.

Nina uwezo wa kupokea taarifa na kuifanyia vetting kabla ya kuipokea.
 
Hahahaha uzuri hata hao 90% unaowaita wajinga ni Watanzania na maamuzi huwa hayajalishi werevu ama wajinga!
Tulia na fikisha ujumbe kuwa wajinga hawamkubali Mama!
 
Naona utawala huu wanazidi kuneemeka wapigaji, wauza unga.. na wale wa ‘unanijua mimi nani’ wanaongezeka tu. Tumerudi hatua 100 nyuma. Ni kama tuko enzi za JK. Japo JK pia yuko mbali.
 
Siyo akili za kindezi bali ni akili kubwa. Magufuli aliiba uchaguzi wa 2020 na kuweka bunge lake chini ya Ndugai ili aje abadili katiba atawale milele. Kuna ushahidi wa kauli zake nyingi tu. 1.Mojawapo ni ile alikuwa anasema "mimi nikiondoka, je ni nani atajenga miundombinu"
2. Nyingine ni pale alipoitwa na akina Kabudi Mheshimiwa mungu au na Aggrey Mwanri "Mungu amshukuru Magufuli"

Pamoja na kauli nyingine nyingi Magufuli hakuthubutu kuwakemea au kuwakana wanaomwita mungu

Kingine ni kitendo cha yeye kuua wanaomkosoa. Yeye ni nani awatangulize wenzie kama Ben Saanane, Azory Gwanda!! Na jaribio la kumuua Tundu Lissu.

Ungekuwa una akili kichwani ungejuwa ni Mungu aliyemkataa Magufuli, maana alijipa u-Mungu mtu wa Tanzania

Alone Crimea na Etwege
Hizi polling zinaonesha ni kiasi Magufuli aikubalika,na pamoja kuwa marehemu Bado anakubaika,numbers don't lie,ungesubiri abadilishe Katiba ndio uongee,acha kumsingizia mtu Ambae amekufa,hakuna siku aliosema aitwe Mungu,Hao waliomwita kawaulize! Nimekuomba ilivyo na akili za kijinga kujiita eti "umesoma,alafu una exposure" nonsense! Unafikiri nani hajasoma? Unafikiri kusoma ndio kuwa na akili?
 
Huwezi kunielewa hadi uwe na akili. Twat
 
In memory of President Magufuli, who departed in 2021, leaving an indelible mark on Tanzania and beyond.

His transformative leadership, marked by fiscal prudence, infrastructure development, and devotion to his nation’s progress, etches his legacy in our hearts. Though gone, his spirit endures in the fabric of Africa.

Dr. John Magufuli. Achievement of only four years in power.

Tanzania 🇹🇿 under John Pombe Magufuli (2016-2021).

1 He introduced free education in Tanzania in 2016.
2 He reduced ministries from 30 to 19 to reduce costs.
3 Magufuli reduced his salary from US$ 15,000 to $ 4,000.
4 He bought new airplanes.
On infrastructure developments he done the following;
1 He built the Tanzania Standard Gauge.
2 He expanded the Port of Dar Es Salaam.
3 He built Ubongo interchange
4 He expanded Julius Nyerere Airport.
5 Huduma Bora Za Afya.
6 He stopped sending gold to other countries for refinery by building Gold Refinery plant in his country.
In his first term, he turned Tanzania into lower middle income nation.

Your comments on this ...
20240427_153224.jpg
 
Hizi polling zinaonesha ni kiasi Magufuli aikubalika,na pamoja kuwa marehemu Bado anakubaika,numbers don't lie,ungesubiri abadilishe Katiba ndio uongee,acha kumsingizia mtu Ambae amekufa,hakuna siku aliosema aitwe Mungu,Hao waliomwita kawaulize! Nimekuomba ilivyo na akili za kijinga kujiita eti "umesoma,alafu una exposure" nonsense! Unafikiri nani hajasoma? Unafikiri kusoma ndio kuwa na akili?
Huwezi kunielewa hadi uwe na akili
In memory of President Magufuli, who departed in 2021, leaving an indelible mark on Tanzania and beyond.

His transformative leadership, marked by fiscal prudence, infrastructure development, and devotion to his nation’s progress, etches his legacy in our hearts. Though gone, his spirit endures in the fabric of Africa.

Dr. John Magufuli. Achievement of only four years in power.

Tanzania 🇹🇿 under John Pombe Magufuli (2016-2021).

1 He introduced free education in Tanzania in 2016.
2 He reduced ministries from 30 to 19 to reduce costs.
3 Magufuli reduced his salary from US$ 15,000 to $ 4,000.
4 He bought new airplanes.
On infrastructure developments he done the following;
1 He built the Tanzania Standard Gauge.
2 He expanded the Port of Dar Es Salaam.
3 He built Ubongo interchange
4 He expanded Julius Nyerere Airport.
5 Huduma Bora Za Afya.
6 He stopped sending gold to other countries for refinery by building Gold Refinery plant in his country.
In his first term, he turned Tanzania into lower middle income nation.

Your comments on this ...
View attachment 2975320
Magufuli was a ruthless despot who silenced freedom of expression, remotely controlled the Parliament, and threatened the judiciary. Little is known of how Magufuli was evil by people outside Tanzania. He was a murderer, pathological liar, and mysonigist
You are the hooligans trapped in Magu false propaganda. You defend a murderer, pathological liar who didn't respect our constitution, suppressed democracy, didn't follow rule of law and singlehandedly destroyed our economy. You write NONSENSE here because you were benefitting
 
Ni Rais gani hajawahi kujenga miundombinu? Hizo ni propaganda tu ambazo aliwaingiza mkenge watu wajinga kama wewe Bugucha !!. Miundombinu alikuta imejengwa na watangulizi, naye akajenga na itaendelea kujengwa. Ni upuuzi kumsifia Rais anayetekeleza kazi tuliyompa sisi wenyewe
 
Kwanza hata wengi hawaelewi mambo ya sera Wala uchumi, Bali wanamkubali Magufuli kwakuwa alikuwa anakomoa matajiri, na kudhalilisha watumishi wa umma.
Sasa kama huna akili na tunakuona,akija kiongozi akakuchana live kwamba acha upuuzi kwanini tusimwone kama ana akili kama zinazojua tunachokitaka!!!

Huyu wa sasa anasema watu wale kwa urefu wa kamba,huo ndio msimamo wa rais yaani.
 
Huwezi kunielewa hadi uwe na akili

Magufuli was a ruthless despot who silenced freedom of expression, remotely controlled the Parliament, and threatened the judiciary. Little is known of how Magufuli was evil by people outside Tanzania. He was a murderer, pathological liar, and mysonigist
You are the hooligans trapped in Magu false propaganda. You defend a murderer, pathological liar who didn't respect our constitution, suppressed democracy, didn't follow rule of law and singlehandedly destroyed our economy. You write NONSENSE here because you were benefitting
KIingereza kingi kumbe maumivu ya hatua ngumu dhidi ya watu wa upinde mliyochukuliwa.
 
Back
Top Bottom