Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Hbar wadau,

Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku (wakat wa kulala lakn bado akilala ktandan anakuw kama anachoka anahamia sakafuni) na akilala sakafun analalia tumbo.

Napend kujua kama kuna mtu mwenye kujua hili kuw kama kuna TATZO au ni tabia tu?
 
Mkuu iyo ni Tabia tu... Wala usitishike
 
Sakafuni anahamiaje mkuu mtoto wa miezi 8 au umeweka godoro chini? Toa ufafanuzi kidogo tukushauri
 
Mtoto ana miak miwili currently hyo tabia alianz akiw na miez nane alipoend mikoa ya Joto
 
Back
Top Bottom