MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Unaua fate ya mtoto stop it tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke kwa Mwamposa akaombeweYuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Kwa nn usimwambie uovu wao ili ajue ukwel ? Akjua ukwel atawachukia sana!! Kama mm nakumbuka zaman nakumbuka nliwah kuona mapolis wakimpiga mjomba angu Bure ,mjomba alinichukua nikiwa dogo sana kwenda center ya karb na home ,sasa tukakutana na gari la field force lilikua kinaitwa "shika kamba" wakampiga mafimbo Yao Bure tuu,kuanzia sku iyo sjawai wakubali Hawa jamaa,bas siku moja polis wakawa wanakimbiza majambazi yaliokua yameiba gari ,jambaz moja sugu likatokea kweny dirisha la gari na kumiminia gari la polis risas ,aisee nyie nyie nlifurah sanaaa yaan nliona majambazi kama ndo kiboko ya wates wa watu ,, na Kwa akili za kitot nkawa napenda majambazi kulko polis mpka baadae sana nlipokuja kua na akili za ukubwanYuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Dogo katinga kituoni,akikutana na mwema pale kituoni atajua vitu vingi sana napia kusaidia wengine,mpeleke skauti za mashuleni itampa dira nzuri zaidi ya kuanza jua yaliombele yakeKweli hilo ni janga ndugu
Usimzuie kipawa chake ndio anaweza kuja kuleta mapinduzi makubwa ndani ya jeshi..!Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Astaghifilullah!Mtoto amepatwa na pepo baya sana.Mola awe na yeye tusimkose.Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Ahahahahahah aiseeHizi pigo za kijana wangu kabisa yaani anawakubali polisi kinoma ila nilikuja kugundua cartoon zinamfanya aone polisi wa nje walivona commitment ya kusaidia raia na bongo ndo hivo hivo.
Siku hizi nikiwa naye barabarani kama kuna foleni anachukia sana na mimi namwambia polisi ndio wanasababisha, au akiona watu wanagombana namwambia polisi hawafanyi wajibu wao naona kidogo ameanza kuwachukia.
Mfundishe apende JESHIYuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Kwasasa unajiona upo sahihi, lakini amini nakwambia unatengeneza potential criminal bila kujijua ambayo itakuja kukugharimu pakubwa hapo baadaye.Hizi pigo za kijana wangu kabisa yaani anawakubali polisi kinoma ila nilikuja kugundua cartoon zinamfanya aone polisi wa nje walivona commitment ya kusaidia raia na bongo ndo hivo hivo.
Siku hizi nikiwa naye barabarani kama kuna foleni anachukia sana na mimi namwambia polisi ndio wanasababisha, au akiona watu wanagombana namwambia polisi hawafanyi wajibu wao naona kidogo ameanza kuwachukia.
Polisi hawapaswi kuonea raia.Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Mfundishe maadili aje awe Polisi mwenye hofu ya Mungu anayechukia rushwa na mpenda haki na usawa na uhai wa binadamu.Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.
Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.
Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.
AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.
NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Mfundishe uadilifu, utu na uzalendo mapema
IGP hapo alipo anataman kufanya reform lakn anashindwa kutokana na namna jeshi la polisi lilivyoPolisi hawapaswi kuonea raia.
Muache ajiunge labda atakuja kuwa IGP na kufanya reforms
Wambura huyu huyu chinja chinja?IGP hapo alipo anataman kufanya reform lakn anashindwa kutokana na namna jeshi la polisi lilivyo