Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.

Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.

Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.

AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.

NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Kazi za waliofeli form four 4 nakupata 27 ndio wakaenda polisi
 
Msubiri akue kidogo kisha mpeleke JKT, kule ndo kiu za watu huwa zinakatwa. Baada ya hapo wengi huona jeshi si mchezo na kuamua kufanya harakat nyinginezo 🤣🤣🌃

NB: Binafsi namsapoti Sana, ukishakuwa na passion ya jeshi huwa haitoki. Mimi pia km kk yake hiyo passion imenitawala Sana ila kupata hiyo nafasi sasa, angalia asijekonda kwa stress, kazi za jeshi kupata nayo shuguli. Mwaka wa 3 tunaomba but unlucky still rejected 🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta namba ya rizimoko
 
Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.

Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.

Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.

AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.

NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Mtoto wako atakuwa ana tabia za kijambazi sana. Ubabe hapendi kutumia akili na anapenda kunyanyasa wengine ili ajisikie yeye ndo ana nguvu mwaishe kwa wataalamu wa akili na ushauri au maombi. Asitamani kabisa kuwa police.
 
Train him
 
Humu JF km yupo mtu ana hizi password za kupelekana jeshi, ani PM tuongee ikiwezekana ata mshahara na posho vya awali nitampa..tusaini na mkataba
 
Mtoto wako atakuwa ana tabia za kijambazi sana. Ubabe hapendi kutumia akili na anapenda kunyanyasa wengine ili ajisikie yeye ndo ana nguvu mwaishe kwa wataalamu wa akili na ushauri au maombi. Asitamani kabisa kuwa police.
Mkuu umewaza mbali Sana, pengine anatamani kusaidia mitaa aliyokulia. Wengi wetu tumeishi mitaa ambayo Mtoto wa mama Fulani mvuta bangi anaogopwa kuliko COVID.

LET'S TRY TO BE POSITIVE MKUU 🤝
 
Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti.

Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka barabara.

Leo ndio funga kazi, baada ya kufunga shule kapitia kituo jirani cha polisi kaja na majarida kadhaa kuhusu mambo ya usalama wa raia inaonesha alienda kuwahoji maswali kadhaa wakampa zawadi.

AKienda shule anarudi akiwa msafi vilevile anasema polisi sio wachafu.

NAMTOAJE KWENYE HILI JANGA WAKUU BILA KUM-ATHIRI KISAIKOLOJIA?
Msomee ule mstari wa Biblia unaouliza "...na sisi je"
 
Mkuu umewaza mbali Sana, pengine anatamani kusaidia mitaa aliyokulia. Wengi wetu tumeishi mitaa ambayo Mtoto wa mama Fulani mvuta bangi anaogopwa kuliko COVID.

LET'S TRY TO BE POSITIVE MKUU 🤝
Akiwa na hiyo mentality ndo hatudumu katika hiyo kazi. Atakutwa na kashfa za kuua,kuchukua rushwa au any ili akomeshewe utumishi wake. Ni bora tu awe jambazi mwenye uniform na kitambulisho atadumu kazini.
 
Mkuu sina elimu kubwa ya jeshi ila ndogo niliyoipata mafunzo ya awali inaniambia kazi namba moja ya Askari sio kuua. Kifo hutokea pale Tu mtuhumiwa atumiapo silaha kuzuia Askari asitimize majukumu yake, itamlazimu Askari kutumia silaha mharifu asidhuru raia na Mali zako
 
Kama yupo primary muache aendelee kuenjoy utoto wake. Muhimu mpe elimu nzuri mengine atafigure out huko mbele. Wengi wetu ndoto za utotoni si zile tulizonazo sasa. Usimuumize mtoto kwa kutaka afikiri kama wewe.
Mkuu umetufungia mada.

Asiyeunga mkono coment hii apelekwe moja kwa moja Milembe na tutachangia gharama.
 
Haraka sana mpeleka mtoto Kwa watu wa Mungu akaombewe uchuro huo mkuu..
 
Utoto tu huo akikua anaweza asiwe na hizo interest lakini kama akiamua kwenda huko mzazi utafanyaje!!
 
Angekuwa mwanangu ningemfukuza nyumbani hata kama yupo chekechea! Polisi walichonifanyia namuachia Mungu
 
Back
Top Bottom