Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Fanya jambo kwenye mfukosana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya jambo kwenye mfukosana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Acha kuleta hekaya za vitabuni hapa.Huyo ni mtumishi wa Mungu, mpeleke madhabauni mapema. Mungu atasema naye sana na ataokoa kizazi chenu. Ni kina Musa hao.
Hesabu 12:3
[3]Basi huyo mtu, huyo Musa, alikuwa mpole sana zaidi ya wanadamu wote waliokuwa juu ya uso wa nchi.
Mchukue nenda nae sehem nzuri atakayokua na utulivu wa akili ongea nae kirafiki kabisa lazima atakwambia ni nini kinamsibu.Wakuu dogo saivi yuko la pili...hachangamki kabisa...ni mtu wa kukaa pekee yake ...anaweza akacheza kidogo tu nawenzake halafu aka achana nao mda huohuo
Nishamuuliza sana ana tatizo gani mbona anakuwa mpole sana?ila anasema hana tatizo tu,,,kingine anakuwa na mawazo sana hadi mwalimu wake ashawahi kuniita kuniuliza...lakini nikamwambia hana tatizo..
Dogo kuna siku alikuwa na mawazo sana ...ikabidi nimuulize shida ndio akaniambia ametumwa shuleni mbolea...nikahisi tu huyu walimu wanamchapa sana...asa mbolea anatoa wp mtoto wa darasa la pili.
Mara nyingi mtoto akifanyiwa ukatili anakuwa hivyo..!! Sio kubakwa inawezekana yapo mengine ya kutisha.Wanambaka?