Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.
Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka alipojifungua.
Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.
Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....
Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na uelewa wa matatiz ya watoto wetu.