Mwanangu hapendi kula

Mwanangu hapendi kula

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.

Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka alipojifungua.

Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.

Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....

Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na uelewa wa matatiz ya watoto wetu.
 
Pole mkuu' Mimi ni mzazi mtoto wangu ana miezi 9' zamani alikua anasumbua sana kula' mimi na ndugu zangu tulikua tunaanzakumlisha ki nguvu' akilia napo tu nampa hadi Amalize kile kiasi cha chakula
Sasa badae nikaanza kusoma vitabu na tabia za watoto' nilijisiki vibaya baada ya kugundua makosa mengi tunayo fanya wazaz
1. Wazazi wengi wasio na chakula cha kutosha wala hawajui diet watoto wao ni walaji wazuri
2.watoto hukinia chakula cha aina moja. Jitahidi kubadiri
3.akikataa kula mwache' akiwa na njaa atakula
4.kuna watt huzaliwa na appetite kubwa' hata kama anaumwa atakula tu' na wengine hapana

NB: tafuta kitabu kinaitwa dr Spock's baby and and child care. Kilinisaidi mimi' jaribu mkuu
 
Wana jf polen kwa majukum
na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.

Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki
mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa
anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka
alipojifungua.

Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na
mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.

Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi
so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....

Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na
uelewa wa matatiz ya watoto wetu.

nitafute kwa
0754422095
 
Wana jf polen kwa majukum na nashukur kwa ushaur wa bure tunaopeana.

Nina mwanangu wa kike mwenye umri wa miez minana na wiki mbili...mwanangu hapendi kula chakula chochote hususan uji na kikubwa anachotegemea ni maziwa ya mamake ambayo nayo hayatoki kwa eingi toka alipojifungua.

Wakati amezaliwa maziwa ya mamake yalikuw hayatoshi tukawa tunampa na mwaziwa ya ng'ombe sasa sijui hilo ni chanzo cha tatizo au vipi.

Kuna mtu alinambia may be maziwa alokuw anakunywa yalikuw na fat nyingi so imejenga coat na kumfanya ajiskie kushiba na kukosa hamu ya kula....

Wana jf naombeni msaada najua humu kuna wazazi na wengine wenye ujuzi na uelewa wa matatiz ya watoto wetu.

kuna maziwa yanauzwa Dr Cow Calcium Milk Candy. Ni mazuri mno wa watoto wasiopenda kula. Na pia yanasaidia sana ukuaji wa mifupa yake na kuifanya kuwa imara na meno pia. Atakuwa anakula mpaka unajisikia raha. 0759077008 Nitafute nikupatie hayo maziwa.
 
wee mbona umekomaa na hayo maziwa yako, unatangaza biashara isiyouzika.. Kizuri kinajiuza.. Kwangu namshauri aende hospital kumuona daktari wa watoto atampatia vidonge ambavyo vitamletea hamu ya kula.
 
Yani kidume changu cha 2 years hakipendi kula kabisaaaa. The secretary.
 
Last edited by a moderator:
thank you all for your contributions , wale mlonipa contacts ntajitahid kuwacheki , mungu awabarik
 
Hata mimi wa kwangu hapendi kula hususani ukimlisha huwa nampikia alafu nampa mwenyewe anakula tena anafurahia.....

Kama wa kwako ameshaanza kuota meno ndio vizuri zaidi mjaribu kumpa kitu cha kula mwenyewe uone anaweza penda pia
 
sometimes mtoto kukataa kula ni tabia tuu sio tatizo lakiafya, je wewe ni mlaji na na mzazi mwenzio ni mlaji? Kama nyie ni wavivu kula usishangae kwa mtoto wenu. otherwise mpeleke kwa daktari
 
Yani kidume changu cha 2 years hakipendi kula kabisaaaa. The secretary.

Sorry Karucee natumia simu huwa sipati notification, hili tatizo la watoto kutokula ni kwa wengi,mimi wa kwangu huwa wanakula kwa msimu,kuna wakati wanapenda kula kuna wakati hawapendi nimeamua kuwaacha ila nazingatia sana kuwapa matunda na mboga za majani ,kwa huyu mdogo huwa namchemshia ana kunywa maji ya mboga vile vile na rozela nawachanganyishia na unga wa ubuyu wanakunywa kama juice .
Ila kuna mdau kashauri vizuri hapo juu,ila hapo kwenye kumwacha ale anachotaka tu, itakulazimu kumlazimisha chakula kingine ili kubalance diet.
 
Last edited by a moderator:
Yani kidume changu cha 2 years hakipendi kula kabisaaaa. The secretary.

Wala usihangaike na hizi no.za simu mpatie chakula cha asili na zaidi kisicho na viungo halafu mwachie ale mwenyewe kama alivyosema [MENTION=85213]Farkina .
Mpikie dagaa au samaki wasiokaangwa wale fresh,mtilie kitunguu,hoho,katia na nyanya kidogo vichemke pamoja mpigie na ugali wa dona changanya na ngano isiyokobolewa ugali mlaini, vinasaidia kuleta hamu ya kula ngoja madameB aje akupe njia ya kutengeneza unga wa maini
 
Madame B njoooo. Sijawahi kusikia unga qa maini.

Hivi mamito haya mnajifunzaga wapi, na lini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom