Mwanangu Makonda, hakika, hautapata unachokitaka

Chama cha matope mna vituko kweli kweli.
Inaonyesha Daudi ni tishio sana, mbona mnamuogopa kiasi hicho ?....au kawaroga ? we
 
Kisa nakijua. Ni Chongolo kukukwepa katika ziara zako mikoani. Ulitamani, ukasema na kuomba kuwa unataka ijirudie mikutano kama ile ya Kinana na Nape. Ukajiapiza kuharibu bila kutibu.

Uandishi wako unaonesha kama vile ni mmoja wa wazee waliostaafu lakini wamealikwa kutoa busara zao na umeenda moja kwa moja kwenye pointi kumfikia mlengwa.

Ni dalili kuwa Paul Makonda anaweza naye asikae katika nafasi ya uenezi kwa muda mrefu, na kupewa majukumu mengine nje ya chama ila siyo ya nafasi ya kuvuka mipaka ya jamhuri ya Muungano kwa kuwa bado yupo katika orodha ya watu wenye sifa zisizostahili katika buku la watu waliowekewa vikwazo na taifa kubwa la Marekani.

U.S. Department of State (.gov)
https://2017-2021.state.gov › public...
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of ...

31 Jan 2020 — The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020......

...... Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania​

PRESS STATEMENT
MICHAEL R. POMPEO, SECRETARY OF STATE
JANUARY 31, 2020


Mbaya zaidi serikali ya CCM imeamua kukaaa kimya bila kufanya uchunguzi ili iimsafishe Paul Makonda, bali imemuachia aendelea kama vile 'kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe' kwa matendo yake hapa duniani.

Zimbabwe
Harare

1st August 2018
The Citizen (Dar es Salaam)
By Kitsepile Nyathi
Harare — The United States has placed a former Zimbabwe army general Anselem Nhamo Sanyatweon the sanctions list over the killing of six civilians during protests that followed last year's disputed presidential elections

Sanyatwe, previously the commander of the Presidential Guard, gained notoriety in 2018 when, as a Brigadier, he played a key role in the deployment of forces to manage election-related protests in central Harare.

Sanyatwe is known for providing inaccurate testimony during the Mothlante Commission's public inquiry into the 2018 post-election violence, which resulted in casualties.

In December 2018, Sanyatwe was promoted to the rank of Major General. Widely considered a loyalist of Vice President Constantino Chiwenga, Sanyatwe's abrupt retirement on May 29, 2019, saw him appointed as Zimbabwe's Ambassador to Tanzania.

Now President Emmerson Mnangagwa has named Lieutenant General Anselem Nhamo Sanyatwe as the Commander of the Zimbabwe National Army (ZNA), effective immediately, in the wake of Lieutenant General David Sigauke's retirement.

In a press release issued on Friday, October 20, 2023, Chief Secretary to the President and Cabinet, Martin Rushwaya, explained that this appointment adheres to Constitutional provisions.


Photo : Lieutenant General Anselem Nhamo Sanyatwe, the new Commander of the Zimbabwe National Army (ZNA).
 
Teuzi za chama mwenyekiti lazima ahusike 💯...

Nafasi kubwa kama KM huwezi ukamshawishi mwenyekiti aweke mtu asiyeendana nae so huwezi kumzuia pia

Hata ukifanya figisu na ikafanikiwa kama mwenyekiti hakutaki ni kazi bure
 
Kisha nani achukue sasa?? Hawa hawa watoa taarifa au kuna upinzani unaojipanga?

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nchi kama imeweza kuongozwa na watu incompetent, waliojazana ndani ya chama kwa miaka nenda! Naamini hata apewe mtu kilaza namna gani, bado ataweza tu kuongoza vizuri.
 
Ujinga tu...kwani mlikuwa wapi kutafuta mtu kipindi chama kinayumba....utazuia ili umlete nani...mkiulizwa makonda kawakosea nn...? Hamsemi..ila hamtaki Ateuliwe... si mseme kawakosea nn?
Ukimpa madaraka ya juu muuaji si unatengeneza sura ya chama kuwa ni chama cha wauaji?
 
Teuzi za chama mwenyekiti lazima ahusike 💯...

Nafasi kubwa kama KM huwezi ukamshawishi mwenyekiti aweke mtu asiyeendana nae so huwezi kumzuia pia

Hata ukifanya figisu na ikafanikiwa kama mwenyekiti hakutaki ni kazi bure
Nyakubonga sijui ushawishi kwako una tafsiri gani. Uamuzi ni wake tunakubaliana,mchakato wa kuamua anayeendana nae kabla ya kufikia uamuzi si wake peke yake,huo unategemea macho yake ya pili tatu na nne. Ndio maana anashauriwa,kuna vyombo vinavyofanya vetting na mengineyo.
 

Mzee wa kazi keshafoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…