Thread imeishia hapa....safi sana mkuu shakir.Unajua mfundishaji wa watoto shuleni ni mfundishaji ndio lakini jina specific analoitwa ni mwalimu. Sasa ukijibu mfundishaji haujakosea Sana ila sio sahihi kwa 100%.
Ni sawa na ukamuita mtu mlimaji badala ya mkulima, au muendeshaji badala ya dereva.
Zimefika mkuu kasoma meseji yako kafurahiMtoto wako yupo na good handwriting.
Mpe pongezi kutoka kwangu.
Ha haaaa kumekuchaaaaaa swali zuri Sana Hili sisi tuna majibu Yetu Bila kujali swali lipojeUmeshawasiliana na mwalimu?
Njoo tumtafute wa kwetu atayekuwa na mwandiko mzuri zaidi ya huoMtoto wako yupo na good handwriting.
Mpe pongezi kutoka kwangu.
Akili kubwaUnajua mfundishaji wa watoto shuleni ni mfundishaji ndio lakini jina specific analoitwa ni mwalimu. Sasa ukijibu mfundishaji haujakosea Sana ila sio sahihi kwa 100%.
Ni sawa na ukamuita mtu mlimaji badala ya mkulima, au muendeshaji badala ya dereva.
La pili! Basi kijana wako yupo vizuri, lakini jibu hilo ni kweli kakosea.Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu!
Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani?....mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa...Eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII
Je; jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto Au mwalimu ndo hajielewi?
View attachment 1807698
View attachment 1807699