- Thread starter
- #141
Nasubiri jibu sahihiHata huko mambo hayatakuwa rahisi mkuu, hili swali sio lakitoto hata kidogo sijui ilikuwaje tu hadi akaulizwa mtoto!? Angalia maveterani wa Jf wanavyosugua bongo bila muafaka kupatikana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri jibu sahihiHata huko mambo hayatakuwa rahisi mkuu, hili swali sio lakitoto hata kidogo sijui ilikuwaje tu hadi akaulizwa mtoto!? Angalia maveterani wa Jf wanavyosugua bongo bila muafaka kupatikana!!
Na tulipopanda darasa tuliambiwa haiwezekani, ni lazims ukope.Mtoto hafundishwi kama mtu mzima,mtoto anafundishwa kitotototo kuendana na mazingira yanayomzunguka huko mbele sasa ndo ataanza kujishepu mwenyewe kadri anavyopanda darsa..mfano,sisi tulipokuwa darsa la pili tulifundishwa (2-3=haiwezekani),na tukaamini hivyo hadi tulivyopanda darsa tukajua (2-3=-1) ..mtoto hufundishwa kwa staili ya kipekee sana
Sote pamoja mkuu...