Mwanangu wa drs la 2 nimemuuliza methali ya mtoto akililia wembe amenijibu mtoto kautaka..

Mwanangu wa drs la 2 nimemuuliza methali ya mtoto akililia wembe amenijibu mtoto kautaka..

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
Taifa la kesho linabalaa sana.
 
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwakilia na jamaii hii ilivyo kazi ipo.

Wa kike au wa kiume huyu dogo?
 
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwakilia na jamaii hii ilivyo kazi ipo.
Baba mwenyewe unajiita covid yaani corona.

Sasa unategemea genetics ziende kwa nini?

Mtoto kakufanana masihara.

Labda Utanitukana ila ukweli ndio huo
 
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwakilia na jamaii hii ilivyo kazi ipo.
Utakuwa umemuambukiza covd19
 
All in all, angalia shuleni, watoto anaocheza nao, na vipindi anavyoangalia kwenye TV. Kuna ujinga ujinga mwingi sana. Mfano mdogo, hebu sikiliza radio zetu kuanzia saa mbili hivi asubuhi mpaka mchana wanaongea vitu gani?
Huwa najiuliza, hivi hizi radio mpaka zinaruhusu mavipindi ya umbea umbea na ujinga, kweli wamekosa program ambazo zinaweza kuwa interest watu kwa muda huo? mfano wakileta wataalamu wa biashara mbali mbali na kuwafundisha watu mida hiyo ya saa mbili mpaka saa nane mchana, si ingekuwa na tija sana. Hata mambo ya banking, maswala ya kutunza na kumanage hela. Kuna mengi sana. Wao wamekomalia maumbea umbea na udaku sijui kuchamba..mbaya zaidi kuna vipindi eti mashoga kabisa wanaendesha.
 
All in all, angalia shuleni, watoto anaocheza nao, na vipindi anavyoangalia kwenye TV. Kuna ujinga ujinga mwingi sana. Mfano mdogo, hebu sikiliza radio zetu kuanzia saa mbili hivi asubuhi mpaka mchana wanaongea vitu gani?
Huwa najiuliza, hivi hizi radio mpaka zinaruhusu mavipindi ya umbea umbea na ujinga, kweli wamekosa program ambazo zinaweza kuwa interest watu kwa muda huo? mfano wakileta wataalamu wa biashara mbali mbali na kuwafundisha watu mida hiyo ya saa mbili mpaka saa nane mchana, si ingekuwa na tija sana. Hata mambo ya banking, maswala ya kutunza na kumanage hela. Kuna mengi sana. Wao wamekomalia maumbeya umbeya na udaku..mbaya zaidi kuna vipindi eti mashoga kabisa wanaendesha.
Kwani mashoga wenye taaluma za Media, wasiendeshee vipindii?
Nyie mnaangalia anachokitoa mtu kutoka kichwani, au mnaangalia sexual orientation yake?

Ndo maana li nchi lenu maskini, na omba omba, kisa upuuzi uliowajaa nyie wananchi wake. Woooiiiiiii
 
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwakilia na jamaii hii ilivyo kazi ipo.
Inawezekana wewe ndio una tatizo kichwani. Kwani wewe ulipokuwa darasa la pili mlifundishwa methali zote? Mimi nakumbuka tulianza darasa la tatu kama sio la nne.
Huyo mtoto ana akili maana mtoto yoyote akililia kitu maana yake anakitaka. Yuko sahihi kabisa.
 
Mie mtoto wa darasa la sita nilikuta methali:
Usipoziba ufa -watu watachungulia ndani. Nilibaki hoi.
 
Kwani mashoga wenye taaluma za Media, wasiendeshee vipindii?
Nyie mnaangalia anachokitoa mtu kutoka kichwani, au mnaangalia sexual orientation yake?

Ndo maana li nchi lenu maskini, na omba omba, kisa upuuzi uliowajaa nyie wananchi wake. Woooiiiiiii

Kwa bahati mbaya hao wanaoendesha mavipindi hayo ya kijinga jinga hawana hiyo taaluma. Ingekuwa wanayo wala usingejua, kwa wanachoongea na kutoa vichwani na vinywani mwao.
Pole sana, naona kidogo una hasira.
 
Sasa hilo ni tatizo la hao Mashoga, au hizo Taasisi za Media? Kwanini wanaweka vipindi vya kijinga jinga? Km ambavyo wee unadai?

Na kwanini wanawapa watu ajira iliyo nje ya taaluma au uwezo wao?

Mie cna hasira, nilijibu kulingana na comment yako.
 
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwakilia na jamaii hii ilivyo kazi ipo.
Za kurithi zinazidi. Ulitegemea mwanao aweje kama wewe ndo Baba?
 
Sasa hapo unamwonea huruma dogo au unajionea huruma wewe??

Wewe ndo unamlea, unapaswa kumfunza kipi ni sawa na kipi si sawa, dogo below 5yrs mda mwingi yupo na wazazi/walezi wake..

Akifanyacho kinaakisi kile wazazi/walezi wanavyomfunza au vile anaona wanavyofanya na yeye anaiga..

Kama mnaangalia video za mtoto kautaka halafu utegemee mtoto asiweke akilini sahau hilo!!

Kuna familia ya kiislam (swala 5) niliwahi kuitembelea, pale kusikiliza mziki ni dhambi na haramu kabisa.
Hukuti mtoto akisikiliza mziki kabisa, kuna dstv na azam tv vimelipiwa mwaka mzima ila kinachoangaliwa ni mpira na baadhi ya tamthilia tu.

Hapo hamna nyege nyegezi wala mtoto kautaka.
Mtoto akiona mtu anasikiliza mziki anaona anatenda dhambi na yeye atahama hilo eneo kabisa.
 
Back
Top Bottom