Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Methali yenyewe inachochea utesaji wa watoto.Mkuu mfumo huo wa elimu hauna manufaa tena katika ulimwengu wa leo, kuna mabadiliko makubwa sana ya technolojia kiasi kwamba elimu ya kukariri mto mrefu zaidi Duniani ni upi imebaki kwetu sisi wahenga hivyo mweleweshe tuu polepole
Ni methali ya kizamani, imepitwa na wakati, inatakiwa kuwa updated.