Methali yenyewe inachochea utesaji wa watoto.Mkuu mfumo huo wa elimu hauna manufaa tena katika ulimwengu wa leo, kuna mabadiliko makubwa sana ya technolojia kiasi kwamba elimu ya kukariri mto mrefu zaidi Duniani ni upi imebaki kwetu sisi wahenga hivyo mweleweshe tuu polepole
Ukishamjaza kichwani mambo mazuri, hata akikutana na manyimbo ya hovyo hayawezi kumkaa kichwani.Usijisifu wewe muombee Mungu akutunzie, kwani atasomea humo ndani hataenda Kwa wenzie? Muombe sana Mungu huyo anaweza kubadilika mpaka ukashangaa ikawa bora Kwa huyo mwingine
Sawa dunia ni yako, nimekaa karibu na wanachuo mambo wanayo-yafanya japo siku anakuja alikuwa tofauti.Ukishamjaza kichwani mambo mazuri, hata akikutana na manyimbo ya hovyo hayawezi kumkaa kichwani.
Mimi niliona mtoto mmoja wa kama darasa la kwanza hivi anaimbaYaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
Taifa la kesho linabalaa sana.
Sana aiseeHe he kama kuna kipindi wazazi mnatakiwa kufanya kazi ya ziada ni sasahivi
Msiba wa Dida ulifatilia? Sorry lakini.Kiukweli nakubaliana na wewe shida ni hizi media zetu, ambazo sidhani kama wanajali taaluma. Wao wanaangalia tu ukiwa na followers Instgram unapata kazi. Sasa nadhani labda mambo hayo ya umbea umbea na ujinga ndio wameona yanawafaa hao jamaa. Lakini ona mfano tu mdogo Richard Quest, Anderson Cooper mbona wako sawa tu.
Hata usiwe na shakaa bwashee,Nina mashaka na wewe.
Maswali ya kijinga hayo yanampotezea mtoto Mb za ubongo tuYaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
Taifa la kesho linabalaa sana.