Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

Kuna mambo mawili hapo,
1.mpeleke mtoto wako kwenye specialist za watoto upate maelezo ya kitaalam,
2.Inawezekana ana athari ya majini na mapepo machafu. usimpeleke kwa waganga mtafute kiongozi wa iman yako, haya mambo yapo sana na yanatesa sana

Pole sana
Hiki kitu kitoe akilini mwako chief.

Ampeleke kwa specialist wa watoto wamsaidie mtoto mengine itakuwa ni kuendelea kupoteza muda.
 
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
Unamaanisha anatembea vizuri tu Ila haongei?
 
Akimpondea chakula atakuwa anamlemaza zaidi maana jinsi umri unavyoenda anatakiwa aweze kula vyakula vya kawaida.
Hauwajui watoto wenye wanapitia hio changamoto huyo sio km watoto wengine
 
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto

Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Mshukuru Mungu mtoto ni mzima wa afya ispokua matendo yake labda ndio sio ya kawaida yanakutia hofu 🐒

Amini Mungu,
Usione haya wala Usikate tamaa kumtafutia suluhu kijana..

kwa Neema na Baraka za Mungu kijana atapona,

kua nae karibu sana siku zote ukimuelekeza kwa msisitizo na Upendo apasayo kufanya taratibu atakaa sana
 
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto

Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Anadalili za ububu

Ana dalili za polio

Ana dalili za mental retardation

Ana dalili za teratogenic conditions (fatilia kipindi cha mimba mama yake alikuwa anapenda kutumia vilevi au vyakula gan)

Wakat anazaliwa alilia? Na kama alilia alitumia muda gan Toka azaliwe mpka kulia?

Muanzishie doz ya mayai, vichwa vya samak wabichi, maziwa mabichi, mboga za majani, karanga na maharage. Yani kifupi apate protein ya kutosha
 
Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto

Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Mtoto anaumwa brain impairedment, hizo 5m muwaishe kwa wataalamu wa munusuru yanao wezekana kupona, ila usiangaike kwa waganga au viongozi wakanisa sio uchawi ni ugonjwa wa kawaida, wana special schools and special care kubaliana na matokeo and take measures plz.
 
Pole sana mkuu.Mimi kijana wangu wa kiume yeye alichelewa kuongea pia mpaka.3 or 4yrs alikuwa hata kusema mama hasemi.Tukagundua tatizo ,pia akawa yeye ni kula na.kulala tu cha kushangaza aliyembea akiwa na miezi 9 na pia miezi 10 hivi hajikojolei na haja kubwa anatoa ngua anajisaidia chini.Mimi nakupa experience yangu mwenyewe.Nilipogundua hicho kitu ,mimi nilivyoona hospital hainisaidii nilimlilia Mungu usiku na mchana na kusoma Matayo 18:18 nafunga hayo.maroho ya stagnation
Uwezi amini kijana aliimprove darasani na kila kitu kwenye maisha yake .Na ni one of the best students in Tanzania ,mpaka nyumbani ananisaidia sana.Ushauri wangu ,mpeleke kwanza hospital mwone Dr akushauri.Pili fuata masharti yote ya kitabibu utakayoambiwa then ongea na Mungu wewe peke yako kuhusu huyo.mtotto.Shida huwa tunafikiri Mungu yuko mbali sana au yuko kwa wachungaji au mashehe tuko naye.Chunguza maisha yako ,mfano kama ulisha mtelekeza mtoto au kukataa mtoto au minba .Check maisha yenu kwa ujumla mtubu na kama ulikataa mtoto au unakitu ulimfanyia mtu kaombe msamaha ,tubu mwangukie Mungu ni mwaminifu.
 
Okay. Sawa
Kuna wengine hawatembei kabisa wanalala tu mikono haifanyi kazi Miguu haifanyi kazi anakojoa hapo hapo anajisaidia haja kubwa hapo hapo kula hataki mpaka chakula kiswagesagwe ndio anakula chakula kigumu hali Ila kikilainishwa anakula, huyu km wa kwake anatembea basi amshukuru Mungu

Kuna wenzio wanaomba Mungu Sawa basi asiongee basi hata atembee tu mtoto hatembei muda wote amelala tu chini muda wote yupo peke yake tu haongei hatembei hawezi kushika hata kikombe mikono yake haina nguvu Miguu yake haina nguvu
 
Mimi naona hospital ndio walikwambia ukweli karibu asilimia 80 ya dalili ulizoeleza ni usonji. Kuongea ataongea ila baada ya muda sana kupita.

Udenda huwa anatoa?

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Binadamu ukishakuwa na matatizo unamsikiliza kila mtu siyo kosa lake,nina wangu nine years old sasa ndiyo anachanganya kuongea.
 
Asante,mwanao alipata msaada?
Bado mkuu. Mpaka sasa hawezi kuunganisha maneno matatu yaliyonyooka. Hata hayo machache anayoyatamka, ni nadra sana kutamka kwa usahihi, japo anajitahidi. Tulilazimika kumpeleka kindergarten akiwa bado na miaka miwili kasoro, na walimu wake wanatupa moyo kwamba nataka sawa. Akiitwa anageuka, jina lake anaweza taja, anaweza hesabu mpaka 10 kwa kiswahili na kiingeereza, na haya yamekuja baada ya kumpeleka shule. Bado anavaa pampasi, hasa nyakati za kuwa nje ya nyumbani muda mrefu, akiwa nyumbani havalishwi, na ni mara chache sana kuonyesha ishara kwamba anataka kujisaidia. Tunaendelea kumuomba Mungu amsaidie. Na pia kama kuna mtaalamu wa madawa, au anayemfahamu mtaalamu, anaweza saidia.
 
Pole sana mkuu kwa hili tatizo la mwanao. Autism imekuwa janga duniani. Jitahidi utafute wataalamu mapema iwezekanavyo. Hayo matatizo huongezeka kadri umri wa mtoto unavyopanda.
 
Kama sio kiziwi au bubu, basi ataongea tu usihofu. Hakuna cha Usonji wa Usonjo. Cc Depal.

Huyo ni super genius, usimpeleke kwa waganga watamharibu. Muache hivyo hivyo wakati wake utafika.

Shida yako una kiwewe na hofu. Kila mtoto ana kipawa chake na wakati wake.

Kukusaidia ninaweza, ila naona hauko tayari bado una hofu na mashaka.

Msaada wangu ni mchungu sana ili ni msaada halisi na wa kweRi - KweRi kweRi.

THERE IS NO SHORT CUT. THE PROCESS MUST BE FOLLOWED HOWEVER SLOWLY.
Kwa Africa usonji ni ugonjwa ila ulaya wanajua namna ya kujua interest ya wasonji,
Ni watu ambao akili yao iko focused kwenye kitu kimoja tu,hivyo wanakuwa bora sana kwenye eneo lao,kazi ya mzazi ni kujua mtoto focus yake nini,kisha uweke nguvu zote hapo,
Usipojua basi itakuwa changamoto

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom