Akimpondea chakula atakuwa anamlemaza zaidi maana jinsi umri unavyoenda anatakiwa aweze kula vyakula vya kawaida.Pole sana nishajua mwanao anasumbuliwa na nini, Ila chakula mpondee pondee atakimaliza chote usimpe hivyo hivyo
Hiki kitu kitoe akilini mwako chief.Kuna mambo mawili hapo,
1.mpeleke mtoto wako kwenye specialist za watoto upate maelezo ya kitaalam,
2.Inawezekana ana athari ya majini na mapepo machafu. usimpeleke kwa waganga mtafute kiongozi wa iman yako, haya mambo yapo sana na yanatesa sana
Pole sana
Unamaanisha anatembea vizuri tu Ila haongei?7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
Hauwajui watoto wenye wanapitia hio changamoto huyo sio km watoto wengineAkimpondea chakula atakuwa anamlemaza zaidi maana jinsi umri unavyoenda anatakiwa aweze kula vyakula vya kawaida.
Mshukuru Mungu mtoto ni mzima wa afya ispokua matendo yake labda ndio sio ya kawaida yanakutia hofu 🐒Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto
Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Anadalili za ububuHabari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto
Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Okay. SawaHauwajui watoto wenye wanapitia hio changamoto huyo sio km watoto wengine
Yap swali zuriWakati anazaliwa alilia au hakulia?
Mtoto anaumwa brain impairedment, hizo 5m muwaishe kwa wataalamu wa munusuru yanao wezekana kupona, ila usiangaike kwa waganga au viongozi wakanisa sio uchawi ni ugonjwa wa kawaida, wana special schools and special care kubaliana na matokeo and take measures plz.Habari za majukumu ndugu zangu,Nina mtoto wa kiume miaka 4 Sasa lakini haongei ni kupiga makelele tu ana dalili hizi hapa chini
1. Ukimuita jina lake hageuki
2. Anapiga makelele tu
3.kuna wakati Anakuwa anaziba masikio
4. Anatamka sauti zinazojirudiarudia lkn hazieleweki
5. Anapenda kuning'iniza vitu mfano chaja za simu,waya,funguo,ama kitu chochote akishika yeye n kuning'iniza anaweza kutoka chumban na nguo ya ndani ya mamake akaja nayo sebuleni ananing'iniza ( anapenda sana hicho kitu)
6. Mikono yake kama imelegea hata kuanza kula mwenyewe alichelewa na saiv anakula mwenyewe Ila anasambaza chakula ukimpa wali maharage atakula 10% asilimia 90 utakuwa kasambaza chini
7. Anapigapiga kidevu chake
8. Anapenda vitu vyake tu ,
9. Hapendi kucheza na watoto wenzake anajitenga nao hata wakiwa 200 yeye atakaa pekeake anafanya vitu vyake
10. Ukimtuma kitu hawez kuleta maana hakuna kitu anaelewa
11. Kuna nywele zilinyolewa akiwa mchanga Hadi hazijaota. Sehem zingine znaota lakini hiyo sehem hazioto
Nilishampeleka Kwa waganga wanasema mizimu,kurogwa, hospital Wanasema usonji(Autism),maji ya mwamposa alishatumia ,Niko naendelea kutafuta tiba naomba mnisaidie Niko TAYARI kutoa MILION 5 CASH Kwa atakayenisaidia mtoto huyu kuongea. Naumia Kwa sababu ni mwanaume siwezi kuweka emoji za kulia. Naumia sana. Namba zangu ni 0689590080.
Kuna wengine hawatembei kabisa wanalala tu mikono haifanyi kazi Miguu haifanyi kazi anakojoa hapo hapo anajisaidia haja kubwa hapo hapo kula hataki mpaka chakula kiswagesagwe ndio anakula chakula kigumu hali Ila kikilainishwa anakula, huyu km wa kwake anatembea basi amshukuru MunguOkay. Sawa
Binadamu ukishakuwa na matatizo unamsikiliza kila mtu siyo kosa lake,nina wangu nine years old sasa ndiyo anachanganya kuongea.Mimi naona hospital ndio walikwambia ukweli karibu asilimia 80 ya dalili ulizoeleza ni usonji. Kuongea ataongea ila baada ya muda sana kupita.
Udenda huwa anatoa?
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Bado mkuu. Mpaka sasa hawezi kuunganisha maneno matatu yaliyonyooka. Hata hayo machache anayoyatamka, ni nadra sana kutamka kwa usahihi, japo anajitahidi. Tulilazimika kumpeleka kindergarten akiwa bado na miaka miwili kasoro, na walimu wake wanatupa moyo kwamba nataka sawa. Akiitwa anageuka, jina lake anaweza taja, anaweza hesabu mpaka 10 kwa kiswahili na kiingeereza, na haya yamekuja baada ya kumpeleka shule. Bado anavaa pampasi, hasa nyakati za kuwa nje ya nyumbani muda mrefu, akiwa nyumbani havalishwi, na ni mara chache sana kuonyesha ishara kwamba anataka kujisaidia. Tunaendelea kumuomba Mungu amsaidie. Na pia kama kuna mtaalamu wa madawa, au anayemfahamu mtaalamu, anaweza saidia.Asante,mwanao alipata msaada?
Kwa Africa usonji ni ugonjwa ila ulaya wanajua namna ya kujua interest ya wasonji,Kama sio kiziwi au bubu, basi ataongea tu usihofu. Hakuna cha Usonji wa Usonjo. Cc Depal.
Huyo ni super genius, usimpeleke kwa waganga watamharibu. Muache hivyo hivyo wakati wake utafika.
Shida yako una kiwewe na hofu. Kila mtoto ana kipawa chake na wakati wake.
Kukusaidia ninaweza, ila naona hauko tayari bado una hofu na mashaka.
Msaada wangu ni mchungu sana ili ni msaada halisi na wa kweRi - KweRi kweRi.
THERE IS NO SHORT CUT. THE PROCESS MUST BE FOLLOWED HOWEVER SLOWLY.