Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam ndio maana nika mwambia aende kule "" kuna mkuu anaitwa deception alishawahi kusema kuwa HIV+ ni fake "" so akienda kule na kukutana na hoja zake atajuwa wapi pakuanzia....lakini bado nimeona kuna michango ya members wengi tu Humu ambayo inamashiko "" kuna ambao wamemwambia akapime DNA huwenda walibadilishiwa mtoto wakat alivyozaliwa" kuna ambao waliosema huwenda mtoto alitumia vifaa vilivyotumiwa na mtu aliyeathirika"" kama nyembe .sindano .neel cuter etc ambavyo vimepelekea kumsababishia maambukizi"" so huwenda hizi sababu tajwa zikawa na tija zaidi na kufumbua fumbo linalotukabiliMtoto kapimwa hajawahi kuingiliwa kimwili... bado fumbo,
KAUPATA WAPI???
Mkuu, jibu lako halijakaa sawa isee. Its not funny story ujueKwako!
You are a real humble African mkuu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Imenitouch sana hii asee! Hadi amefikia hatua ya kuharisha na kutapika viral load itakuwa heavy sana na stage yake itakuwa sio ya kuridhisha.
Muwaishe akapate medication mapema, but habari nzuri zipo kwamba kuna uwezekano mkubwa HIV ndani ya miaka 10 ikapatiwa cure kwani research za Dawa ya kutibu kabisa zimefikia karibu sana kugundua Dawa ya HIV akiwemo Dr Khalil mmarekani huyu amefanikiwa kutibu panya na sokwe kibao kwa tiba yake ya cell editing waliowapandikiza HIV na wote wàlipona kabisa.
Israeli wana Dawa yao inaitwa Gamorah iko katika hatua ya mwisho kabisa kukamilika.
USA tu ndio wanachelewesha maana HIV kwao ni fimbo ya kuchapia mataifa ya ulimwengu wa tatu kwa misaada via USAID.. Sasa ikipatikana tiba tutakuwa na kiburi so he is controlling us kwa kupitia HIV maana soon Dawa ikigunduliwa atapoteza ushawishi wake Duniani.
But its around the corner maana anataifa kibao yanavumbua Dawa na kupata nguvu.
Relax! We will survive!
Usife moyo mkuu..mwanao probably akapona kabisa kama atasurvive for the next 10 years to come which is possible akipata medication early.
Don't lose hope.
Though, I'm so sorry to hear this? Sometimes the world is cruel and heartless.
Najua mtu kinga yako ya mwili ikishuka lazima magonjwa yakupate, kula healthy food tuone kama kutakua na kitu kama hicho.naam ndio maana nika mwambia aende kule "" kuna mkuu anaitwa deception alishawahi kusema kuwa HIV+ ni fake "" so akienda kule na kukutana na hoja zake atajuwa wapi pakuanzia....lakini bado nimeona kuna michango ya members wengi tu Humu ambayo inamashiko "" kuna ambao wamemwambia akapime DNA huwenda walibadilishiwa mtoto wakat alivyozaliwa" kuna ambao waliosema huwenda mtoto alitumia vifaa vilivyotumiwa na mtu aliyeathirika"" kama nyembe .sindano .neel cuter etc ambavyo vimepelekea kumsababishia maambukizi"" so huwenda hizi sababu tajwa zikawa na tija zaidi na kufumbua fumbo linalotukabili
okay "" nimekuelewa ktika hizo hoja zote ulizoziwakilisha hapa "" dhidi ya huu mkasa uliopo mbele Yetu " kwakweli nimejikuta na muelewa zaidi deception "" na ningekuwa mimi ndiye mtoa mada "" ningejitahidi kumtafuta haraka ili aangalie namna yakuweza kulitatua hilo fumbo ""Najua mtu kinga yako ya mwili ikishuka lazima magonjwa yakupate, kula healthy food tuone kama kutakua na kitu kama hicho.
So kwa asilimia kadhaa nakubaliana na Deception.
Suala la DNA siliafiki sababu watazidi kumuweka mtoto pabaya, what if majibu yakawa kweli sio wao je familia itaweza kua nae au ndio watampeleka kituo cha mayatima.
Hoja ya kuipata masaloon au kujichoma na vitu vya ncha kali katika michezo nakubaliana nalo.
Kaa na binti yako muulize taratibu bila hasira atakuambia ukweli hawezi pata hiv kirahis hivo kuna kitu kafanyiwa au ka share vifaaNililazwa na binti yangu wa kwanza kwa takribani siku 6 baada kuugua homa (akiharisha na kutapika ) lakini tukaruhusiwa juzi baada ya afya yake kutengemaa(japo amethoofika).
Majibu ya ugonjwa aliokuwa anaumwa yametoka kuwa ni HIV +, tulipatwa na mstuko kwa majibu hayo ilibidi mimi na mke wangu tupime lakini majibu yametoka hatuna maambukizi.
Hatukutosheka na majibu hayo tulienda Consolota na The dream kupima tena wote watatu lakini majibu yale yale sisi wazima ila mtoto ndio Positive.
Tulikaa kujiuliza kavitoa wapi? Ilibidi nisombe nyumba nzima maana nipo mimi, mke wangu, wanangu watatu, msichana wa kazi na bibi yangu nikawapeleka kupima lakini majibu ni yale yale.
Ikabidi tukampime kama aliwahi kubakwa ila alituficha lakini vipimo havioneshi hivyo.
Mpaka dakika hii tunajiuliza amevitoa wapi?
Niko na huzuni sana ndugu zangu.
choko wewe!Kwako!
pole sana mkuu, wakati mwingine maisha yanakatisha tamaa.Utata unaonisumbua ni siku tutakayo mwambia ila mpaka sasa yeye hatujamwambia.
Huu ni mtihani huko mbeleni mkuu.