Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Mkuu uenezi Enzi ya awamu ya tano ulikua kama katibu kiongozi vile, ushawai kutana na pole pole akiwa mikoani yani alikuwa anapokelewa na msafara mkubwa na king'ora juu wakati uko nyuma muenezi alikuwa Hana iyo jeuri... Pole pole aliogopwa Sana ndani ya Chama kwasabab alikuepo around the corridors of power yeye kuongea na raisi moja kwa moja ambae ndo mwenyekiti wa Chama ni jambo dogo Sana.... Hivo uwezi fananisha ubunge tena wa viti maalum na mwenezi wa chama tawala kiufupi unapokuwa mwenezi unakua unamamlaka kumbukuka pole pole alikua anaingia hadi kwene kamati kuu ichi ndo chombo kikuu kinachoipa ipa dira serikali, maamuzi makubwa ya nchi yanaanzia kupikiwa kwene hichi chomo....
 
Hawa wanatakiwa wasaidiwe kwa kuwekwa gerezani kwa maovu yao
 
Basi wasaidiwe na waliosababishiwa matatizo kwa matendo yao enzi Yao pendwa🤔 .
 
Waachwe tu wapotelee mbali maana walipata madaraka wakajiona wamefika sasa wajibebe!
 
Ukweli , Ukweli Mtupu!!!
 
Waachwe hivyo2.
 
Kuzungumza jambo huponya nafsi ya mtu ila kuumia kwa ndani ni kujichimbia kaburi watu ka Bashiru, kabudi wako kwenye situation mbaya sana hizi habari zilikuja ghafla na hakuna aliyejiandaa, heri Pole Pole anajibwekea ka mbwa Koko kujiponya nafsi ingawa anaweza kukomolewa na wajuba
 
hivi Tanzania kuna wanasaikolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…