Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Kwa kifupi mwanasaikolojia anataka pole pole akae kkmya kama bashiru Ili aseme ana Sonona

Lakin pia Bashiru apayuke kama polepole ili aseme ana "mental disorder"
Nimecheka sana hapa[emoji38]
 
Ukinyamaza sonona , ukiongea rejection disorder. Ninyi waswahili Mungu anawaona mjue!
 
Kwamba unajaribu kuhoji nani yupo juu kati ya katibu muenezi wa chama tawala la mbunge?.

Ni vyema ukaendeleza harakati zako huko facebook.
 
Hatuwezi kupoteza muda na rasilimali kwa ajili ya watu wa wanafiki kama hawa.
 
Dah

Umesema mwanasaikolojia anaitwa nani?
 
Umeandika ujinga mtupu unadhani hawajui kwamba nothing is permanent including human beings themselves

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
KILA zama na kitabu chake,bahati haiji mara mbili kama hawakujenga zama zao wawe wapole au watumie dola warudi
 
Hao ni madalali wa kuuza wapinzani.Slow slow alipiga chenji kwenye pesa ya kuwanunua wasanii wakati wa kampeni akisaidiwa na steve.
So wawe wapole
 
Kwamba unajaribu kuhoji nani yupo juu kati ya katibu muenezi wa chama tawala la mbunge?.

Ni vyema ukaendeleza harakati zako huko facebook.
Amesahau kauli ya Polepole kwamba katubu wa wilaya anaendesha VIEITi. Je mwenezi Taifa anaendesha nini..!
 
Kama hawataki kusaidiwa tunafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…