Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

Bado lile file la kukagua mali za wana CCM linamsuta... maisha ndani ya CCM anayaona magumu mno - ni kama uwe mtoto wa nje afu baba afe ubakie na wale nduguzo wa mama wa kambo - ni balaaa.
 
Dk Bashiru mtasema na kumtungia kila aina ya abunuasi,dk ni mtu ambae hana tamaa anaishi maisha ya kawaida sana,wala msitegemee kumsikia kwenye siasa zenu za maji taka,mnaumia sana kuona yupo kimya,kama mnategemea kumsikia akipiga porojo ilo msahau kabisa.
 
polepole wa zamani na polepole wa sasa kawa wa haraka haraka
 
Kwa hiyo ni kama wehu ama
Kama ni hivyo wafungwe kamba
 
Hahaaaa
Mwacheni Pole Pole aongee maana ndio anajiponya, Pole Pole ana tabia zetu wanawake Ili tupone yaliyo moyoni lazima tuongee sana na kila mtu, Bashiru ndio itamchukua mda kupona maana ina mkula ndani kwa ndani
 
Aendelee kukaa kimya ili afe kwa sonona iliyoekezwa na dr. Mwakikuma
 
Mh, Mwakikuma! Mmmm
 
Na Mbowe asaidiweje? Maana kutoka kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi Bungeni (KUB) hadi kuwa Gaidi linalosota mahabusu ni hali ya kuhitaji msaada mkubwa wa Kisaikolojia!
 
Walitengeneza hali hiyo
 
Na Mbowe asaidiweje? Maaa kutoka kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi Bungeni (KUB) hadi kuwa Gaidi ni hali ya kuhitaji msaada mkubwa wa Kisaikolojia!
Peleka swali lako kwa Dr. Mwakikuma
 
Waacheni, watanzania wapo zaidi ya 60m wanatosha kuchukua nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…