Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

"Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia.

Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia ( hasa wa Masuala mazima ya Mahusiano na Mapenzi ) ila kwa hili la huyu Mwanasaikolojia na ninayokutana nayo kutokana na Maisha yangu mengi ni ya Kujichanganya na Watu ( Jamii ) ninakubaliana nae tena 100% kabisa.

Ngoja nijiandae zangu sasa Kutembea kwa Miguu baadae kutoka Bunju mpaka Tandika na Tandika kureje Bunju ambapo nitapitia Kuwakodolea ( Kuwatizana ) Wanaume wapenda Gym Mwenge kisha nimalizie kwa Kuwaonea Huruma Wake / Wapenzi wao.
Ukishakuwa unadrive vieite yako mwenyewe, au hammer uko smart. Unashuka kwenye gari yako uko siriaz, hakuna mazoea ya ovyo na mademu, Unaingia kwenye Ghorofa yako.

Mbona watakugombania wenyewe, hakuna cha gym wala cha nini. Wengine watajileta wenyewe tuu. Utaskia shkamoo boss.
 
Utanusurika vipi na wazee wa mkongo kwenye kumegewa kimasihara....
 
Nguvu za kiume ni za kutunzwa sana, kimoja tu kinatosha mpaka baadae sana na siyo kupiga mabao mengi mfululizo. Ni aibu kubwa sana kushindwa kupanda mtungi kwa mkeo, aibu zaidi kwa demu mpitaji tu anaweza asifiche siri na udhaifu kwa wanawake wenzio ukaibika zaidi. Kula milo bora na kutokufanya mazoezi ya mwili yanayoathiri nguvu za kiume. Ni aibu jibaba la miraba minne lina six pack kifuani halafu halina nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom