Mwanasayansi anasema dini ni ugonjwa wa akili

Mwanasayansi anasema dini ni ugonjwa wa akili

Inawezekana ni kweli dini ni ujinga lakini kudhani kupinga dini ni kupinga uwepo wa Mungu ni ujinga zaidi....

Mungu na dini ni vitu vinavyohusiana kidogo sana kwasababu tu dini zinamzungumzia Mungu na wengi wamemjua Mungu kwa kupitia dini lakini Mungu hatagemei dini kuwepo kwakuwa alikuwepo kabla ya dini na hana utegemezi wowote kwakuwa yeye ni Mungu.....

Ukiona mtu anadhani dini na Mungu ni kitu kile kile juwa huyo ana tatizo.....

Zipo dini zinauwa uwezo wa kufikiri kabisa....
 
Sipingani na mleta hoja ila kiukweli dini imeleta mabadiliko sana,imeongeza umasikini hasa miongoni mwa jamii watu wameshindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato wanajikita zaidi ktk mambo ya kikanisa.......na mifano hai ko na uhakika na ninachokisema wakuu
 
Mkuu,kama hutojali waweza kutudokezea walau kiduchu dini gani hizo zinazouwa uwezo wa kufikiri.
 
Sipingani na mleta hoja ila kiukweli dini imeleta mabadiliko sana,imeongeza umasikini hasa miongoni mwa jamii watu wameshindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato wanajikita zaidi ktk mambo ya kikanisa.......na mifano hai ko na uhakika na ninachokisema wakuu
Hao waliojikita kwenye mambo ya kanisa zaidi kuliko kazi ni wa wapi?
 
Hata nyie mnaojifanya siojui ni ma Atheist au scientists,Hamjawahi kutoa jibu sahihi ni wapi ulimwengu huu ulipotokea.Nimewaskiliza sana kina Prof Stephen Hawking na wengine,Wote wame base kwenye theories tuu,Ambazo ukifkiri kiuhalisia hazima hata chembe ya uhalisia.Wanapumbaza kwa kusema oooh,it happened 20 bil years ago.Bullshit!!!!
Mkuu

Yo sounded better
Hekima ya dunia hii ni takataka..View attachment 543493

jw library
 
Ninachoamini ni kwamba kweli Mungu yupo, kuhusu dini ni ujinga kuna kaukwweli apo maana zingine zina masharti utafikiri jeshini

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ni njia ya kumtafuta na kumjua Mungu. Njia ya kumtafuta yaweza kuwa fake. Njia nyingine inaweza kuwa genuine.

Kujumlisha kuwa dini ni ugonjwa wa akili ni imani au njia kutafuta kisicho Mungu ambayo pia ni ugonjwa wa akili na roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingani na mleta hoja ila kiukweli dini imeleta mabadiliko sana,imeongeza umasikini hasa miongoni mwa jamii watu wameshindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato wanajikita zaidi ktk mambo ya kikanisa.......na mifano hai ko na uhakika na ninachokisema wakuu
Hao ni ujinga dini gani inasema mtu Aswali masaa 24? Muda upo imetengwa wa kufanya ibada na muda wa kazi upo wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingani na mleta hoja ila kiukweli dini imeleta mabadiliko sana,imeongeza umasikini hasa miongoni mwa jamii watu wameshindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato wanajikita zaidi ktk mambo ya kikanisa.......na mifano hai ko na uhakika na ninachokisema wakuu
dini imefanya watu matajiri, humuoni Gwajima ww?
 
Sipingani na mleta hoja ila kiukweli dini imeleta mabadiliko sana,imeongeza umasikini hasa miongoni mwa jamii watu wameshindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato wanajikita zaidi ktk mambo ya kikanisa.......na mifano hai ko na uhakika na ninachokisema wakuu
Ungetoa huo mfano hai wa dini kuchangia umaskini.
Labda hiyo dini yenu.

Kama ni dini ya Ukristo imechangia sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania.

Ukristo ulijenga shule nyingi kuanzia za Msingi ,Secondary na Vyuo vya ufundi mbalimbali karibu kila mkoa wa nchi hii. Mpaka shule nyingine zikataifishwa na Serikari ya Nyerere.
Viongozi wengi ambao ni waasisi wa Uhuru wa Tanganyika na Serikari ya kizalendo iliyomrithi mkoloni walisoma katika shule za misheni za kikristo.
Hapa Daresalaam shule za kwanza kabisa kama Kibasila ni za wamisheni.
Shule za Kikristo ndizo zilizo wasomesha wanasiasa wengi hapa nchini, karibu maraisi wote wa awamu zote tano walisoma shule za
misheni.
Wamishenari wa Kikristo ni waasisi wa kuchangia huduma za jamii tokae zamani za ukoloni.
Kuna hospitari nyingi na vituo vya afya ambavyo vipo hadi leo katika maeneo mbalimbali ambavyo vilijengwa na wamishenari na huduma zake ni bora kabisa.

Fanya utafiti kabla ya kuzungumza ndugu, au ni vizuri ukaitaja hiyo dini iliyosababisha umasiki hapa nchini.
Kama ni umaskini umeletwa na uvivu wa kazi wa watu wa maeneo husika na sio dini flani.
Hata hao wanaoabudu kwenye Lorge wanatoa michango kwenye jamii na
inaonekana.
Jambo lingine kubwa linalostawisha na imani za dini ni Ustaarabu.
Hebu niambie ivi kusingekuwa na na mafundisho ya dini kabisa, leo watu wangapi wangekuwa majambazi ?
Ujue kuna mamilioni ya watu ambao hawafanyi uhalifu kwa sababu tu wanamuogopa Mungu wao.
Kuna watu wameacha wizi, uporaji, ushoga nk, kwasababu ya kuyatii maandiko ya vitabu vya dini.
Nyie mnaodharau imani ya dini mnataka watu waishi bila miiko yoyote halafu matokeo yake wanaume waandamane wakitaka kuolewa na wanaume wanzao.
Nakushangaeni sana ninyi watu sijui mnawaza nini.
Dini sio tu imesaidia, ndiyo iliyoleta maandeleo kwa watu na ndio iliyoasisi maisha ya Ustaarabu na Kuheshimiana toka zamani za kale hadi hii leo.
Mnaodharau dini sijui kama ni binadamu mliotimamu.

Mjiite tu, Mashetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom