Ungetoa huo mfano hai wa dini kuchangia umaskini.
Labda hiyo dini yenu.
Kama ni dini ya Ukristo imechangia sana katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania.
Ukristo ulijenga shule nyingi kuanzia za Msingi ,Secondary na Vyuo vya ufundi mbalimbali karibu kila mkoa wa nchi hii. Mpaka shule nyingine zikataifishwa na Serikari ya Nyerere.
Viongozi wengi ambao ni waasisi wa Uhuru wa Tanganyika na Serikari ya kizalendo iliyomrithi mkoloni walisoma katika shule za misheni za kikristo.
Hapa Daresalaam shule za kwanza kabisa kama Kibasila ni za wamisheni.
Shule za Kikristo ndizo zilizo wasomesha wanasiasa wengi hapa nchini, karibu maraisi wote wa awamu zote tano walisoma shule za
misheni.
Wamishenari wa Kikristo ni waasisi wa kuchangia huduma za jamii tokae zamani za ukoloni.
Kuna hospitari nyingi na vituo vya afya ambavyo vipo hadi leo katika maeneo mbalimbali ambavyo vilijengwa na wamishenari na huduma zake ni bora kabisa.
Fanya utafiti kabla ya kuzungumza ndugu, au ni vizuri ukaitaja hiyo dini iliyosababisha umasiki hapa nchini.
Kama ni umaskini umeletwa na uvivu wa kazi wa watu wa maeneo husika na sio dini flani.
Hata hao wanaoabudu kwenye Lorge wanatoa michango kwenye jamii na
inaonekana.
Jambo lingine kubwa linalostawisha na imani za dini ni Ustaarabu.
Hebu niambie ivi kusingekuwa na na mafundisho ya dini kabisa, leo watu wangapi wangekuwa majambazi ?
Ujue kuna mamilioni ya watu ambao hawafanyi uhalifu kwa sababu tu wanamuogopa Mungu wao.
Kuna watu wameacha wizi, uporaji, ushoga nk, kwasababu ya kuyatii maandiko ya vitabu vya dini.
Nyie mnaodharau imani ya dini mnataka watu waishi bila miiko yoyote halafu matokeo yake wanaume waandamane wakitaka kuolewa na wanaume wanzao.
Nakushangaeni sana ninyi watu sijui mnawaza nini.
Dini sio tu imesaidia, ndiyo iliyoleta maandeleo kwa watu na ndio iliyoasisi maisha ya Ustaarabu na Kuheshimiana toka zamani za kale hadi hii leo.
Mnaodharau dini sijui kama ni binadamu mliotimamu.
Mjiite tu, Mashetani.
Sent using
Jamii Forums mobile app