kenge 10
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,450
- 2,383
Hapana ,matatizo ni yao wenyewe wakawausisha na wengine wakiwemo na waafricaIna maana ukristo na uislamu ulisambzwa afrika tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ,matatizo ni yao wenyewe wakawausisha na wengine wakiwemo na waafricaIna maana ukristo na uislamu ulisambzwa afrika tu?
Sijakupata vizuri.Hapana ,matatizo ni yao wenyewe wakawausisha na wengine wakiwemo na waafrica
Haya maelezo yako uliyatoa hapo na ndugu yako..yanawakilisha waumini walio wengi.wanaosema dini huondoa uwezo wa kufikiri na ugonjwa wa akili wanamaana kubwa.Namie naombea asipate kazi milele ili akione cha mtamakuni mpaka atakapo tubu na kuamini ya kwamba yupo Mungu na yeye ndiyo kilakitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweni unaweza ukampa ushahidi wa anachokipinga kua amekosea?Duh!! Kumbe unaweza kuwa profesa lakini bado ukawa upo kwenye giza totoro kuliko lile la usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli Biblia imeandikwa na jopo, heri hata waislamu wanaosema imeshushwa Quran angalau wanajustify nadharia yao
Qur'an ni copy ya Bible!!Kiukweli Biblia imeandikwa na jopo, heri hata waislamu wanaosema imeshushwa Quran angalau wanajustify nadharia yao
Hebu fafanua mkuu.Qur'an ni copy ya Bible!!
Ukimutoa issa (Jesus)... Quran inakufa kifo cha mende.
Miaka ya 2000 kuja 2005 naskia kuna shule moja maarufu special ya serikali kuna vijana walikua wanafanya mtihani partial na kuacha eti wameambiwa roho atamalizia. Naskia walipata ziro mtihani wao wa A level wakati o level walikua wametusua hadi kuchaguliwa special skuli😭😭😭.Dini haina tofauti na bangi...kuna jamaa yang alizungusha A level sababu ya kusali masaa yote
Achilia mbali kusolve tatizo la kifo. Pamoja na kuzinadi akili zako kuwa nyingi kuliko za mlokole, lkn bado hujaweza kuchangia hata chembe ya badiliko la uhai wako au wa wengine ambao Ni vipofu, ajali, viwete na vilema. Zaidi yakutuandikia kasentensi Kama std7Mfano mzuri, chunguza mlokole wa kiafrika aliyekolea ulokole "amekaa kitaahira". Anapoteza mda mwingi kupiga sala, mwisho wa siku anakuambia "una buku ya karibu?"