Kwani mtu hutakiwa aonekane intelligent akiwa na umri gani?? Maana kuna ambae huonekana intelligent utotoni lakini asiweze kumaintain mpaka ukubwani..Na mwengine akaonekana wa kawaida utotoni lakini akawa super intelligent ukubwani..
Kingine intelligent ya mtu nahisi haiwezi kupimwa kutokana na variation inayotokana na mazingira,,malezi,,vyakula,,mafunzo na hata genetic inheritance...Mfano mtu aliekulia California na akawa very inteligent angekulia hapa nachingwea au mitaa ya mbagala kibonde maji na akaipata hii elimu ya big result now angekuwa wa kawaida tu..Pia tujaribu kumchukua mtoto wa kibonde maji anaesoma darasa lenye watoto 180 na mwalimu anafundisha bila hata kipaza sauti,,tumpeleke california darasa moja lenye watoto 8.Na watoto wanakula na kufundishwa kulingana na mafundisho sahihi na saikolojia ya watoto..Ndipo tutajua kwamba yoyote anaweza kuwa super inteligent..
Suala la kusema religious people Wana low iq ni Kwa Sababu wao wanaamini yupo Mungu na pia wanazichallenge nonsense kama Darwin theory of evolution,,bing bang theory na hoja nyingine zilizojaa uwongo na wishfully thinking.