Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Kwa kanuni za waungwana waliofundwa, mwanamme kumchulia mwanamme mwenzako aliyetoka kuoa habari za "mkiachana" ni kukosa adabu.

Hizo ni habari za kujadiliwa kabla ya ndoa.

Akishaoa hutakiwi hata kuongea kwamba kuna uwezekano wa kuachana.

Baada ya ndoa, waungwana hutakiana heri na mafanikio katika ndoa tu.

Ukiongelea habari hizo, za kuachana, hususan kwenye mitandao, inaonekana kama una hamu waachane na unachochea hilo.
 
Kwa kanuni za waungwana waliofundwa, mwanamme kumchulia mwanamme mwenzako aliyetoka kuoa habari za "mkiachana" ni kukosa adabu.

Hizo ni habari za kujadiliwa kabla ya ndoa.

Akishaoa hutakiwi hata kuongea kwamba kuna uwezekano wa kuachana.

Baada ya ndoa, waungwana hutakiana heri na mafanikio katika ndoa tu.

Ukiongelea habari hizo, hususan kwenye mitandao, inaonekana kama una hamu waachane na unachochea hilo.
Hii couple wengi hawaikubali ila basi tu
 
Hii couple wengi hawaikubali ila basi tu
Couple haihitaji kukubaliwa na mtu mwingine yeyote, inatakiwa kujikubali yenyewe tu.

Hivi Lulu akimwambia Msando kwamba Msando ana wivu wa kisenge, anataka Lulu aachwe ili Msando aolewe na Majizo, atie timu kwenye "mjengo" Msando atajisikiaje?

Kuna maneno mengine mwanamme hata kama unaona hii couple haidumu, hutakiwi kusema hilo.

Unajuaje wanaridhishana vipi wakiwa wawili mpaka uanze kuongea habari za kuachana?

Msando ni kama mtu aliyepewa nyundo halafu tatizo lolote anataka kulimaliza kwa nyundo.

Hata akiwashwa pumbu atataka kujipiga nyundo.

Si kila kitu kinahitaji ushauri wa kisheria.

Zaidi, mwanasheria kutoa ushauri wa kisheria kwa mtu ambaye si mteja wako, hajakuomba ushauri na hakulipi, tena mitandaoni, ni ushamba na ulimbukeni.

Yani hapo Msando anaweza kuanzisha ugomvi mpya kati ya Lulu na mmewe, Lulu akasema kumbe wewe umefanya makusudi kujenga kabla hujanioa ili nyumba iwe kwa jina lako peke yako, tukiachana uniache bila nyumba.

Wakati inawezekana hata mume hakuwa na nia hiyo, alitaka kujenga kabla ya kuoa kama sehemu ya utamaduni wa makabila mengi wa mwanamme kuwa na kwake kabla ya kuoa.

Kuna vineno vineno vingine vidogo tu, lakini vinaonesha uwezo wa mtu wa kufikiri.

Inawezekana watu wakawa hawana mpango wa kuachana, maneno ya mtu yakapanda mbegu ya kuachana, mbegu ikastawi na kuchanua maua vizuri.

Maneno yanaumba, tujihadhari na maneno yetu.
 
Huyo Msando kiazi tu Sasa hayo yanamuhusu nini yeye au anatarajia hao watu waachane lini
Kwa sababu watu wametoka kuona na lengo la kuoana ni kuishi mpaka kifo

Sasa katika uzee wao labda dj akatangulia lakini akiwa ameacha watoto wa kutosha na wajukuu pia akabaki manka akiwa mzee nae
Msando ndiyo ataenda na Sheria zake kusema kuwa mama alimkuta baba na mali kadha wa kadha kwa hiyo hazimuhusu mama?
Au anachulia watu na akili zake mbovu za kichaga kuwaza mali tu
 
Kweli kabisa mkuu
Lakini sio mabinti Wote wako evil kiasi hicho
Halafu huwa hawana elimu akiona mghorofa na BMW basi anapapatikia ndoa akijihakikishia Mali lazima aondoke na nusu kumbe sheria haiko hivo
Sio wote wako hivyo lakini wengi wao wapo hivyo.....zoezi la kugawana mali likishindikana anakufanyia mambo ya kishirikina unakuwa zezeta.......

KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI....
 
Back
Top Bottom