Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Nahisi msando kuwa karibu na macelebrity ndo inapelekea mda fahamu zinamtoka anafanya mambo ya ovyo.

Watu wameoana juzi tayari kashaanza kumtajia mke mgao wa Mali hii ni kama kumpa taarifa indirect kwamba "mtaachana tu"
 
Teh teh..labda ni Divorce lawyer..Kuandaa mazingira ya mkate mbeleni..
 
Wachaga kama wachaga

Inaonesha msando hamkubali lulu..ni kama huko aliko anajutia majizzo why umeoa huyu binti..
 
Nahisi msando kuwa karibu na macelebrity ndo inapelekea mda fahamu zinamtoka anafanya mambo ya ovyo.

Watu wameoana juzi tayari kashaanza kumtajia mke mgao wa Mali hii ni kama kumpa taarifa indirect kwamba "mtaachana tu"
Unaweza kuwa mwanasheria mshamba vilevile.

Yani, ukaijua sheria lakini ukakosa kile kitu Wafaransa wanakiita "savoir faire".

"Savoir faire" ni uwezo wa kujua sehemu gani useme jambo gani, nguo gani uvae wapi, kitu gani kukifanya kwa kadamnasi gani ni mwiko, sehemu gani hata kufanya ujinga ni sawa, na kadhalika.

Msando hana "savoir faire".
 
Sijajua mipaka ya huyu mwanasheria inaishia wapi na endapo hata mitandaoni anatakiwa afanye vipi kazi, lakini hii kwa wengine angeweza kupoteza kibarua kwa haya maneno yasio mbele wala nyuma.
 
Ni mjinga sababu hajui lulu ni brand kubwa hata wasipogawana yule mwanamke ana akili zake kichwani na maisha yake mazuri hata ukimpora kila kitu kwa brand yake bado ataishi tena vzr..

Msando anafikiria km kila mwanamke ni loser km mkewe,Hapana kuna wanawake hawaolewi kuwaza kuachana mgawane mali sababu wana maisha yao,hawajaolewa kisa mali na hawana rogo mbaya ya kimaskini[emoji1787][emoji1787]

Wengine wana future zao wameolewa mapenzi
 
Sijajua mipaka ya huyu mwanasheria inaishia wapi na endapo hata mitandaoni anatakiwa afanye vipi kazi, lakini hii kwa wengine angeweza kupoteza kibarua kwa haya maneno yasio mbele wala nyuma.
Kazi nyingi hizi "skilled professions", hususan zenye professional boards, kama wanasheria na madaktari, zina miiko mingi na mikali dhidi ya members kutoa professional advise willy nilly online, hususan kwenye social media.
 
Mh acha kujidanganya.
Kwanini asiolewe na konda wa daladala?
 
Hapa amewakamulia ndimu tu na kumtia wasiwasi bwana harusi ukizingatia vibinti vya nyakati hizi hukodolea sana mali macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…