Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
Kumtetea Msando wakati hujaona prenuptial agreement ya wanandoa ni ushamba wa kiwango cha lami.

Halafu, si kila mtu anaingia kwenye ndoa kuchuma mali.
 
Mkuu kumbe unaamini kuwa maneno yanaumba ...Bhac hii inatosha kuonyesha unaamini uwepo wa Mungu ....Hapo mwanzo kulikuwako na neno Naye neno alitoka kwa Mungu Naye neno Ni Mungu ...Niishie hapa ...kuwa Umekubali kuwa Mungu yupo
"Maneno yanaumba" inaweza kumaanisha pia kwamba huyo Mungu hayupo, uwepo wake umewekwa kihadithi kwa maneno tu watu wakaamini kama yupo kweli.

Kama unabisha, thibitisha yupo.
 
Msando ametoa kauli sahihi kwa wakati usio sahihi.....

Lakini ki ukweli nyakati hizi ni nyakati ngumu sana na zenye mashaka kuchagua mke hasa ukiwa umejaaliwa kipato....kipato kinavuta watu wengi sana maishani mwako.....lakini bahati mbaya kati ya wengi hao wengi wao ni wanafiki.....na wakati mwingine hata yule unayedhani ni asali wa moyo wako ndio anaweza kuwa ndio mnafiki namba moja na akawa sababu ya anguko lako........hizi ni nyakati ngumu sana kuchagua mke......hizi ni nyakati ambazo matumizi ya akili yanatakiwa kuwa juu kuliko mapigo ya moyo......na wote walioacha nyuma akili zao na kutanguliza mioyo yao wamesha angamia na wengine waliobakia ni wafungwa huru.......

WORD IS ENOUGH FOR THE WISE.....
 
Kweli mzee...!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Akili kubwa sana , Agreed [emoji817][emoji110]
 
Kwa mtu yeyote aliesoma sheria lazima amuelewe msomi msando.kwa taarifa yako yupo sahihi.ikitokea wakaachana watagawana pasu kuanzia walipooana. Na sio mali alizozitafuta majizo kabla ya ndoa.

Kwani nani kabisha? Tatizo linakuja, kwanini atoe comment kama hiyo kwenye Instagram? Kwani kaulizwa? Mwanaume mzima makende yananing'inia lakini anakuwa pashkuna.
 
Comment yake ilikuwa kama utani ingawa imeambatana na kijiwivu kwa mbaliiiiiii
 
Back
Top Bottom