Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli boss , tatizo wenye chura kuwapata mpak uwe na cash 💰, na rungu linahtaj chura ili litakate , mzee Baba kuoa mdada ambaye hujamkubali utamtesa Sana na utamtia stress mwisho anakulamba limbwata , kupata mke mwema bado inabak kuwa gambling labda tuwasikilize kidog watu wa dini hudai mke mwema hutoka Kwa Bwana, naamini hata katika wanawake wapenda mwanaume mwenye mafanikio still wapo wake wema ..... Wanaume wasio na muonekano wa kuvutia ndo hupata taabu Zaid cse inabid wawe na pesa ndo wanawake wawavute , wanaume wenye mvuto wanahtaj pesa ya wastani Tu kuchagua fungu lilio Jema😋😀Msando ametoa kauli sahihi kwa wakati usio sahihi.....
Lakini ki ukweli nyakati hizi ni nyakati ngumu sana na zenye mashaka kuchagua mke hasa ukiwa umejaaliwa kipato....kipato kinavuta watu wengi sana maishani mwako.....lakini bahati mbaya kati ya wengi hao wengi wao ni wanafiki.....na wakati mwingine hata yule unayedhani ni asali wa moyo wako ndio anaweza kuwa ndio mnafiki namba moja na akawa sababu ya anguko lako........hizi ni nyakati ngumu sana kuchagua mke......hizi ni nyakati ambazo matumizi ya akili yanatakiwa kuwa juu kuliko mapigo ya moyo......na wote walioacha nyuma akili zao na kutanguliza mioyo yao wamesha angamia na wengine waliobakia ni wafungwa huru.......
WORD IS ENOUGH FOR THE WISE.....
Hivi lulu kakukosea nini hadi umuite kenge?We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
AminaNawaombea Majizo na Lulu wadumu na wasifikie huku kwenye kugawana mali.
Umeongea ukweli boss , tatizo wenye chura kuwapata mpak uwe na cash 💰, na rungu linahtaj chura ili litakate , mzee Baba kuoa mdada ambaye hujamkubali utamtesa Sana na utamtia stress mwisho anakulamba limbwata , kupata mke mwema bado inabak kuwa gambling labda tuwasikilize kidog watu wa dini hudai mke mwema hutoka Kwa Bwana, naamini hata katika wanawake wapenda mwanaume mwenye mafanikio still wapo wake wema ..... Wanaume wasio na muonekano wa kuvutia ndo hupata taabu Zaid cse inabid wawe na pesa ndo wanawake wawavute , wanaume wenye mvuto wanahtaj pesa ya wastani Tu kuchagua fungu lilio Jema😋😀
[emoji3]Wajasilia mwili watakuja kumpinga
[emoji122][emoji122]Unaweza kuwa mwanasheria mshamba vilevile.
Yani, ukaijua sheria lakini ukakosa kile kitu Wafaransa wanakiita "savoir faire".
"Savoir faire" ni uwezo wa kujua sehemu gani useme jambo gani, nguo gani uvae wapi, kitu gani kukifanya kwa kadamnasi gani ni mwiko, sehemu gani hata kufanya ujinga ni sawa, na kadhalika.
Msando hana "savoir faire".
Weee Kanye amefanya Prenup agreementREJEA MZEE MENGI.
Msando yupo SAHIHI.
ndoa ya Kanye West n Kim Kardashian inapumulia mipira .Kanye ajiandae kwa maumivu.
Zidisha maombi,piga goti na kufunga.Na wataachana Tu ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla hatujaenda mbali Thibitisha kwanza kauli yako "Maneno yanaumba "
Anatabiri talakaKwani msando anatabiri kifo Cha huyo mwanaume ?
Au anatabiri talaka?
Mbona watu wanatabia za kichawi Sana?
Msomi Kama yeye anaongea ujing ujing an amesikia wataachana ili wagawane Mali
aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na wataachana Tu ...
Dar imewaharibusiku hizi watoto wa Chuga wamekua kama wazaramu tu.
Sababu majizzo kamzidi kipato lulu nadhani
Ila umaskini mbaya jamani wanawake tutafute Mali zetu hatutasengenywa hivi
Majizo angeendelea kuwa DJ angempata Lulu?
Hahahah Lulu Ana brand gan?si mdangaji Kama bongo movie wengine tu🤣Ni mjinga sababu hajui lulu ni brand kubwa hata wasipogawana yule mwanamke ana akili zake kichwani na maisha yake mazuri hata ukimpora kila kitu kwa brand yake bado ataishi tena vzr..
Msando anafikiria km kila mwanamke ni loser km mkewe,Hapana kuna wanawake hawaolewi kuwaza kuachana mgawane mali sababu wana maisha yao,hawajaolewa kisa mali na hawana rogo mbaya ya kimaskini[emoji1787][emoji1787]
Wengine wana future zao wameolewa mapenzi