Kumtetea Msando wakati hujaona prenuptial agreement ya wanandoa ni ushamba wa kiwango cha lami.We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
Ooh watu wataumbukaaMapenzi ni kitu kingine kabisa na ndio maana yote yana wezekana.
Inawezekana hivi tunavyo ongea Majizo kisha mwandika Lulu ktk urithi.
Hahahaa wivu tuuMbona kama hospital ya rufaa[emoji23]
"Maneno yanaumba" inaweza kumaanisha pia kwamba huyo Mungu hayupo, uwepo wake umewekwa kihadithi kwa maneno tu watu wakaamini kama yupo kweli.Mkuu kumbe unaamini kuwa maneno yanaumba ...Bhac hii inatosha kuonyesha unaamini uwepo wa Mungu ....Hapo mwanzo kulikuwako na neno Naye neno alitoka kwa Mungu Naye neno Ni Mungu ...Niishie hapa ...kuwa Umekubali kuwa Mungu yupo
Sababu majizzo kamzidi kipato lulu nadhaniMbona hakuongelea majizo asifikirie atarithi nyumba za lulu kama anazo.
Leo tumemjuaKumbe msando ana wivu wa kike Kiasi hiki
Yaani kama Lulu mke mwenzieMsando ana kihere here sana utadhani sio kijana wa kichaga.
😅😅😅 Lakini katoa Elimu na hii elimu itanisaidia siku moja kwa sababu nilikua sijui hili swalaMsando ameonyesha roho ya kimaskini
Hivi mke wa marehemu mzee Machache alichuma mali zote na mzee Machache eh!?We tenaaa
Mwambie lulu aanze kuhesabu siku ya valentine juzi mpaka watakapoachana kachuma nini na majizzo ndo wagawane pasu kwa pasu
Alizozikuta sio zake
Kweli mzee...!!Msando ametoa kauli sahihi kwa wakati usio sahihi.....
Lakini ki ukweli nyakati hizi ni nyakati ngumu sana na zenye mashaka kuchagua mke hasa ukiwa umejaaliwa kipato....kipato kinavuta watu wengi sana maishani mwako.....lakini bahati mbaya kati ya wengi hao wengi wao ni wanafiki.....na wakati mwingine hata yule unayedhani ni asali wa moyo wako ndio anaweza kuwa ndio mnafiki namba moja na akawa sababu ya anguko lako........hizi ni nyakati ngumu sana kuchagua mke......hizi ni nyakati ambazo matumizi ya akili yanatakiwa kuwa juu kuliko mapigo ya moyo......na wote walioacha nyuma akili zao na kutanguliza mioyo yao wamesha angamia na wengine waliobakia ni wafungwa huru.......
WORD IS ENOUGH FOR THE WISE.....
Watoto ndo wamempa Mali..na pia alizochuma wakiwa ndoaniHivi mke wa marehemu mzee Machache alichuma mali zote na mzee Machache eh!?
Kabla hatujaenda mbali Thibitisha kwanza kauli yako "Maneno yanaumba ""Maneno yanaumba" inaweza kumaanisha pia kwamba huyo Mungu hayupo, uwepo wake umewekwa kihadithi kwa maneno tu watu wakaamini kama yupo kweli.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Akili kubwa sana , Agreed [emoji817][emoji110]Msando ametoa kauli sahihi kwa wakati usio sahihi.....
Lakini ki ukweli nyakati hizi ni nyakati ngumu sana na zenye mashaka kuchagua mke hasa ukiwa umejaaliwa kipato....kipato kinavuta watu wengi sana maishani mwako.....lakini bahati mbaya kati ya wengi hao wengi wao ni wanafiki.....na wakati mwingine hata yule unayedhani ni asali wa moyo wako ndio anaweza kuwa ndio mnafiki namba moja na akawa sababu ya anguko lako........hizi ni nyakati ngumu sana kuchagua mke......hizi ni nyakati ambazo matumizi ya akili yanatakiwa kuwa juu kuliko mapigo ya moyo......na wote walioacha nyuma akili zao na kutanguliza mioyo yao wamesha angamia na wengine waliobakia ni wafungwa huru.......
WORD IS ENOUGH FOR THE WISE.....
Kwa mtu yeyote aliesoma sheria lazima amuelewe msomi msando.kwa taarifa yako yupo sahihi.ikitokea wakaachana watagawana pasu kuanzia walipooana. Na sio mali alizozitafuta majizo kabla ya ndoa.
Comment yake ilikuwa kama utani ingawa imeambatana na kijiwivu kwa mbaliiiiiiiKwani nani kabisha? Tatizo linakuja, kwanini atoe comment kama hiyo kwenye Instagram? Kwani kaulizwa? Mwanaume mzima makende yananing'inia lakini anakuwa pashkuna.