Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Umeongea ukweli boss , tatizo wenye chura kuwapata mpak uwe na cash 💰, na rungu linahtaj chura ili litakate , mzee Baba kuoa mdada ambaye hujamkubali utamtesa Sana na utamtia stress mwisho anakulamba limbwata , kupata mke mwema bado inabak kuwa gambling labda tuwasikilize kidog watu wa dini hudai mke mwema hutoka Kwa Bwana, naamini hata katika wanawake wapenda mwanaume mwenye mafanikio still wapo wake wema ..... Wanaume wasio na muonekano wa kuvutia ndo hupata taabu Zaid cse inabid wawe na pesa ndo wanawake wawavute , wanaume wenye mvuto wanahtaj pesa ya wastani Tu kuchagua fungu lilio Jema😋😀
 
Hivi lulu kakukosea nini hadi umuite kenge?
 


Hao watu wa dini ndio hawajui kitu kabisaa, wao ni bendera kufuata upepo tu. Wamekaririshwa kila kitu, hawawezi kutumia akili zao kupata solution yoyote.
 
[emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani msando anatabiri kifo Cha huyo mwanaume ?
Au anatabiri talaka?
Mbona watu wanatabia za kichawi Sana?
Msomi Kama yeye anaongea ujing ujing an amesikia wataachana ili wagawane Mali
Anatabiri talaka
 
Sababu majizzo kamzidi kipato lulu nadhani
Ila umaskini mbaya jamani wanawake tutafute Mali zetu hatutasengenywa hivi

Kwa kweli, wanawake tujiongeze tutafute vya kwetu. Mali ya mume ina masimango na maneno makali sana. Mwanamke ukiwa na cha kwako inakupunguzia haya ma stress mengine. Chako ni chako tu hata kama ni kidogo
 
Majizo angeendelea kuwa DJ angempata Lulu?

WangeonanA wapi sasa kwamba lulu angeenda disco ambalo majizzo ni Dj na kuanza kuomba nipigie mziki flani halafu wakaanza kuzoeana wakabadilishana namba wakawa wapenzi???????Hapana

Narudia tena kwangu mimi na wewe ni kazi kudate wanawake wa hivyo sababu hatuchanganyiki nao na hili utembee nao lazima muwe na muingiliano sasa huo muingiliano ndo umesababisha majizo ampate lulu na mimi na wewe tushindwe angekuwa DJ kusingekuwa na Muingiliano....

Diamond alivyokuwa tandale akuweza ku date star yeyote ila kitendo tu cha kuwa mwanamziki na kuingiliana na mastar ndo akaanza kupata mademu mastar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Wataonana wapi??????Naweza kukupa billion 5 nikakwambia tafuta star utembee nae kama hujui wapi wanaenda kunywa beer na wapi wanapatikana huwezi kumpata hata mmoja.

Muingiliano ni muhimu sana ili upate muingiliano lazima kazi yako iendane nao mcheki vunja bei mda wowote anaweza kula star yule,wacheki wakina calissa sio kwamba wa hela sana ila mbona wema aliliwa???Mcheki kimarioo cha shishi kilw nikipiga picha kizuri sana sasa kimempiga shishi miaka nenda rudi mwishowe shishi kakitunuku sio kwamba kina hela sana hapana muingiliano...
 
Hahahah Lulu Ana brand gan?si mdangaji Kama bongo movie wengine tu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…