Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

We tenaaa
Mwambie lulu aanze kuhesabu siku ya valentine juzi mpaka watakapoachana kachuma nini na majizzo ndo wagawane pasu kwa pasu
Alizozikuta sio zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plz taratibu bas, lulu atapata nimonia ghafla, akiona comment yako.
 
We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
Acheni roho mbaya!
Mfano lulu amepata mtoto,majizo akamuandika mtoto kwenye hizo mali zake,majizo akaitwa na Mungu baba,mali zitabaki mikononi mwa nani?
Bado mtasema hastahili kuwa na hizo mali kisa hawakutafuta wote wakati wanafunga ndoa?
Roho mbaya tuu,mali zinawauma utadhani mlimsaidia kuzitafuta?mfano ameamua kumrithisha hata km hawajatafuta wote mtasema??
Tafutene zenu,sio mnakazi ya kumpangia mali itakuwa ya nani km mlimsaidia kuzitafuta.
 
Watoto ndo wamempa Mali..na pia alizochuma wakiwa ndoani
Pesa za bank na makampuni ni sababu ya watoto nadhani
Ndio itakavyokuwa kwa Lulu!
Akizaa mchezo kwishaa,watoto wakipata ndio kapata Lulu au nasema uongo Msando?
Hakuna mwanaume atakayekubali eti azae au awe na mali halafu mali awarithishe ndugu kina Msando halafu watoto wake wabaki masikini!!
Au hili hukufikiria eti Msando?
 
We naye hujielewi , Majizo aliliona Hilo mapema ndo mana hakumuoa huyo kenge mapema ili amalize Kwanza mjengo wake , Msando ni wakili mbobezi we kima , alichokiongea ni kuweka attention Kwa Huyo Lulu kuwa kama amefata ndoa apambane apate vitu vya kwenye ndoa siyo abweteke akidhani vile ni vyake , kiufupi kama Lulu lengo lake ni kufata zile Mali ajiandae Kwa stress za Kylin na Mengi inatakiwa apambane now sasa kupata vya kwake ewe kilaza
wengi watamponda wakili ila kaongea ukweli unaouma

wengi wa wanawake huingiani ndoani kufzta 'kitu flani' au kupata nafuu kiuchumi

na hao ndio wa kwanza kuleta ujinga ndoani ili akinukishe, muachane apate asset za mme pasu kwa pasu

Majizzo kaliona ilo, na wakili kakazia, japo anapondwa ila ujumbe umefika murua kabisa
 
Acheni roho mbaya!
Mfano lulu amepata mtoto,majizo akamuandika mtoto kwenye hizo mali zake,majizo akaitwa na Mungu baba,mali zitabaki mikononi mwa nani?
Bado mtasema hastahili kuwa na hizo mali kisa hawakutafuta wote wakati wanafunga ndoa?
Roho mbaya tuu,mali zinawauma utadhani mlimsaidia kuzitafuta?mfano ameamua kumrithisha hata km hawajatafuta wote mtasema??
Tafutene zenu,sio mnakazi ya kumpangia mali itakuwa ya nani km mlimsaidia kuzitafuta.
Labda tukuulize unajua mwamba Majizo mpak hapo ana watoto wangap ...au Unakrupuka
 
Kuwapata Bongo movies huitaji muingiliano,bali unahitaji pesa basi,alafu hiyo bilion 5 mbona hela nyingi sana.

Alafu hawa wasanii mbona viwanja vyao vinajulikana,hivi viwanja vinavyo sumbua mjini ukienda utawakuta kibao.

Alafu hiyo dhana ya Majizo kampata Lulu kwa ajili ya mwingiliano ifute,Lulu alisoma Chuo cha Mwl Nyerere,sasa jiulize pamoja na kuwa na mwingiliano mkubwa na wanafunzi wenzake,mwisho wa siku Majizo ndiye aliye oa.
Muangaliege majina ya kuwapa watoto wenu,sio shida,tabu nk
Lulu anabebwa na jina lake,licha ya yooote aliyopitia lakini jina lake linamsafisha "LULU" mnataka awe sawa na kina shida?
 
Hata km wapo 20 I hope kila mtoto atarithi sehemu yake,mwisho wa siku mali itarudi kwa mama.
Itarud Kwa Mama yupi we kilaza , unajua sarakasi za Mali lakini wewe , muulize mrema wa Arusha Billionaire wa mahotel watoto wanavyoburuzana mahakamani na wanapishana kurogana Kwa waganga au muulize Kylin wa mengi , ndo mana Msando amewafungua ili kumuweka kwenye safe zone huyo Lulu .... Hata kama akizaa Kwa Mali zilizopo mtoto atagawiwa kama watoto wengine ,Jambo sahihi ni kutozifikria hzo Mali apambane zipatikane za kwnye ndoa madam bado Majizo ana nguvu ..... Huwa mna vichwa vigumu Sana ndo mana mambo yakiharbika mnakimbilia kwenye media na mashirika ya haki za wanawake na still inakuwa too late....na bado hujui hzo Mali kaandikiwa Nani pengine tayar jamaa ashaziandikia mmiliki Kisheria ..we unakazana kukata mauno kitandani
 
Back
Top Bottom