Imekwisha hiyo! Sukuma Gang mtakuwa vichaa mwaka huuLeo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
UTV ni ya wapi?
Period! Nakala huwa haifanyiwi kazi. Ni taarifa tu anapewa aliyenakiliwa!katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
alivyokuwa na akili mbovu hashindwiAsije kuwa kama Prof Lipumba tu , aridi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh! Kwa hiyo mnataka kumrejesha Ndugai kwa mlango wa nyuma?Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
umenichekesha sanaAsije kuwa kama Prof Lipumba tu , aridi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Quod scripsi scripsi!Niliyoandika Nimeyaandika by Pontio Pilato!
Ushaambiwa nyie wengine mumepewa press release,barua rasmi imeandikwa kwa Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu waChamaLeo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Ni ya AzamUTV ni ya wapi?
Tunajua ile ni Press lkn hiyo press ndo kasema procedure alizofanya kujiuzulu ambazo kwa mujibu wa Katiba ni batili labda awe amefanya tofauti na alivyosema kwenye release yakeUshaambiwa nyie wengine mumepewa press release,barua rasmi imeandikwa kwa Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu waChama
Ukimwi televisheniUTV ni ya wapi?
Tofauti kivipi? Procedures ni zipiTunajua ile ni Press lkn hiyo press ndo kasema procedure alizofanya kujiuzulu ambazo kwa mujibu wa Katiba ni batili labda awe amefanya tofauti na alivyosema kwenye release yake
Kuna tofauti kubwa sana kati ya barua na nakala ya barua. Anayepelekewa barua ndo anaifanyia kazi, anayepewa nakala anapewa taarifa kuwa nimemwandikia fulani baruaAnaejiuzulu anaweza kupeleka barua popote anapota mradi tu pia apeleke barua hio hio kwa bosi wake wa kazi anayotaka kujiuzulu.