Mwanasheria: Barua ya Job Ndugai kujiuzulu Uspika ni batili kwa mujibu wa Katiba

Katibu wa Bunge kama anaipenda kazi yake atakanusha hii taarifa na kufanyia kazi mchakato wa speaker chap chap.
anaipenda kazi yake na amesema anasubiri barua rasmi ili waifanyie kazi.
 
Ndugai alishakwenda na maji!!!
hiyo mijadala yenu haisaidii kitu
 
katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Mkuu, masahihisho kidogo. Katibu wa Bunge hajasema hafanyii kazi nakala. Amesema hiyo nakala aliyopokea ni official, ila anasubiri katibu wa ccm ampelekee. Ili naye aanze mambo yake mengine.

Namkumbuka Mbarouk Msabaha aliekuwa Mwakilishi wa Mji mkongwe 1995 baada ya kuchaguliwa wahafidhina wakasema haiwezekan Komandoo Dr Salmeen aongoze Ikulu ambayo Mwakilishi wake anatokea 'uarabuni'

Alijiuzulu bila ya kujua kama ndio anajiuzulu kupitia TVZ
 
Ndugai amekua bungeni kwa kipindi kirefu na anajua taratibu za kisheria za kujiuzulu, amepeleka barua kwenye chama chake ukiwa ni utaratibu wa awali ili chama kiwe na muda wa kuandaa spika mwingine.

Japokua nafasi ya spika sio lazima uwe mwanachama lakini ni dhahiri spika mwingine atatoka CCM.

Hivi hakuna kikao cha bunge kinachoendelea ninaamini atafuata tu taratibu za kisheria, ambazo anazijua.

Ndugai ni Mzee mmoja mjinga tu kama wajinga wenzake, kukaa bungeni muda mrefu hakumfanyi mwerevu hata kidogo.

Ni mambo mangapi kafanya kinyume na hizo taratibu unazodhani anazijua?
 
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Mbona sio siri tena kuwa watu wasiojulikana ndio waliogushi barua ya kujiuzulu kwa Ndugai na wamemuweka kizuizi baridi asifanye lolote wala kusema chochote.

Nchi la ovyo sana mpaka tutandikane kwanza ndio tukae sawa
 
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Ni upuuzi tu huo,spika anaupata uspika kupitia chama chake,au kwa njia ya kujitegemea,ndugai,anamuarifu katibu mkuu wa ccm kuwa kajiuzulu ili chama kitangaze hiyo nafasi kuwa wazi,katibu mkuu anamjulisha katibu wa bunge kuwa kuna ombwe,ndipo mchakato wa kumtafuta mtu uanze

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Dhamana ya spika ipo katika michakato ya bunge sio ya CCM. Ndugai anawafanyia uhuni jamaa wa bunge, inabidi barua aiandike kwa Katibu wa bunge moja kwa moja sio kumuweka kama sehemu ya wahusika.

Katibu wa bunge anatakiwa amwandikia Ndugai kuwa aandike barua nyingine ya moja kwa moja kwake na ampe muda kwamba kama ndani ya siku tatu au nne au wiki moja atakuwa hajaandika barua ndio utakuwa mwisho wa uspika wake.

Ndugai anawajibika kwa bunge hawajibiki kwa CCM. Alipigiwa kura na bunge akiwa na wagombea wa vyama vingine.
 
Ni upuuzi tu huo,spika anaupata uspika kupitia chama chake,au kwa njia ya kujitegemea,ndugai,anamuarifu katibu mkuu wa ccm kuwa kajiuzulu ili chama kitangaze hiyo nafasi kuwa wazi,katibu mkuu anamjulisha katibu wa bunge kuwa kuna ombwe,ndipo mchakato wa kumtafuta mtu uanze

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ndugai anawafanyia uhuni watu wa bunge. Anahusika kwa bunge moja kwa moja. Aandike barua kwa katibu wa bunge iwepo kumbukumbu ya kudumu ya kujiuzulu kwake bungeni.
 
Ni upuuzi tu huo,spika anaupata uspika kupitia chama chake,au kwa njia ya kujitegemea,ndugai,anamuarifu katibu mkuu wa ccm kuwa kajiuzulu ili chama kitangaze hiyo nafasi kuwa wazi,katibu mkuu anamjulisha katibu wa bunge kuwa kuna ombwe,ndipo mchakato wa kumtafuta mtu uanze

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
maelezo yako siyo kweli; katiba hamtambui katibu mkuu wa chama chochote kuhusiana na mwenendo wa Bunge.
 
Yaani ukishamtibua Amiri jeshi mkuu .
Hata ukimuandikia barua beki 3 wake Ina kuwa halal.
Ndugai karibu chadema 2025 upande na samiaaaaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Kisheria katibu wa bunge hawezi kufanyia kazi barua sio yake. Itabidi ndugai aandike barua upya kwa katibu wa bunge kukidhi mahitaji ya kisheria. Mimi naona kuna mkono wa mungu au job ndugai ni mjanja sana. Binafsi ningemshauri asijiuzulu kwa kua hajafanya kosa kutofautiana hoja na rais. Yeye ni kiongozi wa mojawapo ya mihimili huru ya dola. Ni bahati nzuri kosa hili limefanyika kwa hivyo legaly ndugai bado ni speaker wa bunge na bado hajajiuzulu.
 
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Hiyo barua haijaelekezwa sehemu yoyote zaidi ya kusema kuwa amemkopi katibu wa Bunge.
 
Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
Dakika ya 89 kutoka Uwanja wa Jamhuri ya Muungano Msoga Gang 3: 0 Sukuma Gang. Ball posession Msoga Gang 98%: 2% Sukuma Gang
 
katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Kwani wakati ana gombea usipika bunge pokea utambulisho toka wapi kama sio kwa katibu mkuu Ccm?
Hivyo Ndugai karudisha uteuzi wake kwa katibu mkuu Ccm. By the way katiba viraka haionyeshi ni wapi alitakiwa apeleke barua yake ya kujiuzulu. What we need to know Ndugai sio spika tena,,, period!!!
 
Nijuavyo kulikuwa hakuna Bunge hata Chadema waliwahi kulisemea hili,kwa umaanisho wa wabunge wachaguliwa walikengeukwa na kupachikwa makada,so Ndugai anajua kuwa hakuna Bunge ndio akawaandikia wale wezi wa uchaguzi. Yupo Sahihi.
 
Back
Top Bottom