Ndugai kasema mwenyewe kwa mdomo wake kwamba amejiuzulu.
Sasa, hata kama hajafuata procedures, si inatakiwa viongozi wa bunge na hao wanasheria wamjulishe Ndugai hizo procedures ili kuhalalisha mchakato wake?
Endapo Ndugai hataki kuwa speaker na katangaza kujiuzulu bila kufuata procedures, je, atabebwa kwa nguvu na kupelekwa bungeni kuongoza bunge?
Ndugai kajiuzulu, Ndugai kajiuzulu jamani, hataki kuwa speaker, nyie mnamlazimisha ili iweje? Kwani makada wameisha?
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app