Nadhani alifanya makusudi, kwa kumuandikia Katibu mkuu wa CCM chama chake na kupeleka Copy kwa Katibu wa Bunge. Wewe ni spika wa Bunge unajiuzulu uspika, unapelekaje barua kwa Katibu mkuu wa chama? Kule kwenye chama ingeenda taarifa tu au hata isiende. Hili watalifunika tu mwanaharamu apite, maana wanajua matanzania ni makondoo. Wanaoweza kulijua hili hata asilimia 1 (1%) hawafiki. Maisha yaendelee....Niliyoandika Nimeyaandika by Pontio Pilato!
Pazuri hapo.katibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Ile ya Lipumba ilikuwa funga kazi komba mwiko. Ha ha haaaa!Asije kuwa kama Prof Lipumba tu , aridi tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndugai atakua amefanya makusudi au ndiyo uCCM wa kukiweka chama chao mbele hata kwenye mambo ya kitaifa (Unakuta Rais anaongea na watanzania kama kiongozi wa serikali, lakini kuna watu wanakuja na mavazi ya kijani). Kule kwenye chama chake alikua anapeleka Original ya nini? Kule ilikua ni copy tu, kwa taarifa tu.Period! Nakala huwa haifanyiwi kazi. Ni taarifa tu anapewa aliyenakiliwa!
mimi nimetoa tu maelezo aliyosema katibu wa Bunge.Kwani wakati ana gombea usipika bunge pokea utambulisho toka wapi kama sio kwa katibu mkuu Ccm?
Hivyo Ndugai karudisha uteuzi wake kwa katibu mkuu Ccm. By the way katiba viraka haionyeshi ni wapi alitakiwa apeleke barua yake ya kujiuzulu. What we need to know Ndugai sio spika tena,,, period!!!
Sio matakwa ya katiba hayo!Anaejiuzulu anaweza kupeleka barua popote anapota mradi tu pia apeleke barua hio hio kwa bosi wake wa kazi anayotaka kujiuzulu.
Barua rasmi itatoka kwa katibu mkuu wa ccm kwenda kwa katibu wa bungekatibu wa Bunge amesema Bunge limepokea nakala tu,
hivyo hawafanyii kazi nakala wanasubiri barua rasmi.
Naombeni mnijibu! Kama Ndugai hataki kuwa spika, je, mtamlazimisha kuwa spika hata kama hajafuata procedures za kujiuzulu?Ndugai kasema mwenyewe kwa mdomo wake kwamba amejiuzulu.
Sasa, hata kama hajafuata procedures, si inatakiwa viongozi wa bunge na hao wanasheria wamjulishe Ndugai hizo procedures ili kuhalalisha mchakato wake?
Endapo Ndugai hataki kuwa speaker na katangaza kujiuzulu bila kufuata procedures, je, atabebwa kwa nguvu na kupelekwa bungeni kuongoza bunge?
Ndugai kajiuzulu, Ndugai kajiuzulu jamani, hataki kuwa speaker, nyie mnamlazimisha ili iweje? Kwani makada wameisha?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
labda watamsukumizia uspika.Naombeni mnijibu! Kama Ndugai hataki kuwa spika, je, mtamlazimisha kuwa spika hata kama hajafuata procedures za kujiuzulu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app