Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
Wewe hujiewi tu period, nashangaa sana unawaita wenzako nyumbu. Mtu mwenye akili u- challenge hoja siyo mtu. Wewe mtu yeyeote anayemchallenge Mheshimiwa Rais, CCM au Serikali kwako unamuona msaliti na mtu asiye na maana kesho akijiunga ccm au akiteuliwa na mwenyekiti wako unabadikika kama tanga eti 'kabadilika'. Umejuaje huyo Dk kabadilika? Kama kabadilika kaandika wapi maoni mengine yanayopingana na haya ya awali na wapi kaomba radhi? Utakufa kwa pressure ndg hii nchi ni yetu sote hakuna anayochukia, hakuna anayechukia serikali bali watu wanachukia matendo na kauli za viongozi wetu, wanawahoji ili wabadilike ili tuwe na Tanzania bora zaidi. KAMA KUNA NYUMBU WEWE NDIYE KIONGOZI WAO MAANA HUNA MSIMAMO, HUWEZI KUFIKIRI MWENYEWE UNAENDA NA UPEPO WA VIONGOZI WAKO. BADILIKA KIJANA
 
Shaaban Robert Kandulu aliwahi kuandika ubeti mmoja wa shairi;

Kweli lazima itashinda namna tunavyoishi,
Kweli kitu cha aushi la uwongo lina mwisho,
Kweli aihofu tisho wala nguvu za majeshi,
Kweli itashinda kesho kama leo haitoshi.

My take;
TUJIPAMBANUE KWA KUSEMA UKWELI BILA KUOGOPA KULIPA GHARAMA YA UKWELI HUO ILI TUIJENGE NCHI YETU ..KWANI ITAKUA YA MUDA TU.
 
JPM anasoma sana if, naamini ni bandiko hili ndilo limemuibua jamaa huyu!.

Jana kuna mahali kwenye hotuba ya JPM, amejibu hoja za jf.

P.
Kwenye ule uzi wa Yericko Nyerere uliandika jambo la msingi sana,kwamba tuitumie JF kuandika mambo ya msingi na yenye kuishauri serikali na kwa lugha ya staha.

Hili bandiko la huyu jamaa bila shaka ndio lilimuibua,na bandiko lake ndio kilekile alichokuwa anasema Tundu Lisu.Hapa ndio Waswahili wanasema utajua kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko wadudu wengine watambaao

Jf is never boring.....
 
Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.

Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.

Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.

Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.

Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria

Haya sasa kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu habari yako?

To a neno baada ya uteuzi wa wa hapo Jana
 
Nimesoma makala iliyo andikwa hapo awali na ambae sasa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mteule kwa mtazamo wangu aliongea akiwa "open minded" kama ataendelea kuwa "open minded" anaweza kuisadia Serikali kufungua/kuendesha Kesi za Jinai na Madai zenye mantiki sio kukidhi matakwa ya Kisiasa au mhemeko wa Kijamii. Uhenda hata walioondoka walikuwa "hawawezi kufunguka" juu ya uhalali wa mustakabali wa baadhi ya Kesi ambazo ama waliziendesha kwa dhana ya "bora liende" au kwa kupima "busara ya Mahakama" au "kutimiza matakwa" ya wafanya maamuzi.

Kwa nafasi hii kubwa inahitaji weledi Mkubwa sana kutumika katika kulinda maslahi ya Nchi, Wananchi na Viongozi wa Nchi. Busara hii ijumuishe pia uwezo wa kusema " HAPANA" pale ambapo mazingira yote ya Kitaaluma yanaonyesha jibu ni Hapana, yamkini usisieme NDIO ili kulinda Mkate wako wa siku.
 
Well said mkuu!
 
Bila aibu atapongeza uteuzi, hizo ni out robots za lumumba kila alicholishwa ndicho anachoharisha.

Kwanza nakusamehe bure kwa kuanza kuropoka bila kutafakari, kumbuka hapa kila mtu anao uhuru wa kutoa mtazamo wake wa mawazo. Pili kwa mujibu wa jina lako kwa tasfri yangu binafsi naridhika na kila utakacho sema kwasbabu tayari unajieleza bayana.
 
Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.

Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.

Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.

Kabeba cv kubwa hewa....wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria

Toka kuwa msomi koko hadi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali...
 
Agent of imperialist at work. Ahadi mojawapo Ya mwana Tanu ilikuwa ikisema nitajiellimisha kwa kadri Ya uwezo wangu kwa faida Ya watanzania walio wengi .mleta maada kajielimisha sana kwa faida ya imperialists. Very sad.Yeye na tundu lisu wamejielimisha sana kwa faida ya imperialists
Tunaomba maoni yako baada ya "agent of imerialist" kuteuliwa kuwa mwanasheria Mkuu wa serikali. au kama kawaida yenu leo utashangilia na kupongeza
 
Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.

Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.

Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.

Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.

Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Mkuu unaandika kwa mihemko mno mno. hebu uwe unatulia na kupanga hoja ili ueleweke kama mwenzio alivyofanya badala ya ushabiki.
 
Akina Dr kitila mkumbo tuliwapinga sana wakwa upinzani wakabadilika wakateuliwa tukawapongeza.Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only

yaani wewe ni kiazi kweli kweli. look hivi ndivyo ulivyoandika "Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only[/QUOTE]" seriously wewe humu jf unatafuta nini kama level yako ni kwwenye simple minds namna hii? toka humu unajaza space bure. hata kama ni forum huru kuingia sio lazima uingie. ukiingia unao uwezo wa kukaa kimya. Idiot.
 
UKWELI HUMWEKA MTU HURU. JAMAA ALIONGEA UKWELI UNAOUDHI LAKN JPM KAMTEUA.. ALYOSEMA HUYU DR. NI SAWA NA YA TL, SEMA TL ANAONGEA KWA MSISITZO NA UWAZ, HAREMBI, HAPEPESI MACHO... USHAURI WA TL UKIZNGATIWA NA SERIKALI NCH ITANUFAIKA NA TUTAEPUKA HASARA
 
Agent of imperialist at work. Ahadi mojawapo Ya mwana Tanu ilikuwa ikisema nitajiellimisha kwa kadri Ya uwezo wangu kwa faida Ya watanzania walio wengi .mleta maada kajielimisha sana kwa faida ya imperialists. Very sad.Yeye na tundu lisu wamejielimisha sana kwa faida ya imperialists
Leo una lipi la kusema wewe CCM?
 
UKWELI HUMWEKA MTU HURU. JAMAA ALIONGEA UKWELI UNAOUDHI LAKN JPM KAMTEUA.. ALYOSEMA HUYU DR. NI SAWA NA YA TL, SEMA TL ANAONGEA KWA MSISITZO NA UWAZ, HAREMBI, HAPEPESI MACHO... USHAURI WA TL UKIZNGATIWA NA SERIKALI NCH ITANUFAIKA NA TUTAEPUKA HASARA
TL unampa sifa asizostahili
 
Hakuna kitu kaandika mtetezi wa wahuni tu huyo. Atuachie wazalendo tupambane yeye abaki na vifungu koko vya sheria alivyokariri kutetea mabeberu management ya Accacia.

Msomi Gani koko huyo asiyejua kuwa kilichokuwa kikifanywa na management ya accacia hakikuwa na baraka ya wanahisa wa Accacia? Ndio maana namuona kibaraka tu wa management ya accacia sio wanahisa wa accacia.

Management ya Acacia wamewaibia sana wana hisa wao subiri na ripoti ya makontaina waliyosafirisha miaka yote itoke wanahisa wapate taarifa yake. Huyu mwanasheria koko na wenzie akina lisu watatafuta shimo la kujificha. Mleta mada ni kati ya wanasheria finyu wasioangalia swala kwa upana wake.

Kabeba cv kubwa hewa. Kwa sasa wanahisa wako busy kuhakiki je kilichotoka Tanzania kiliwafikia kama kilivyo? Na je makontaina yaliyoondoka nchini yote yalienda kule kiwanda walichokubaliana au kuna yaliyochepushwa kwenda smelters zingine? Macho Ya wanahisa yote yako kwa magufuli wako naye asilimia 100 kwani wanataka ukweli ujulikane kujua kama management imewaibia au la.

Wakati wanahisa wako na magufuli wasomi sheria koko kama mleta maada wako na management ya accacia na wanapiga filimbi Ya hamelini kuitetea management. Mleta mada ona aibu nakala mpelekee tundu lisu na chadema. Hii vita tuachieni wazalendo nyie kaeni na mavyeti yenu koko ya sheria
Teh teh sawa mzalendo
 
Back
Top Bottom