Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii ni aibu kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe je? Una PhD ya wapi? Au bendera tu?!!!Huyo ana PhD ya investment law kutoka Harvard ametoa hoja zake,haya nawewe jitambulishe elimu yako halafu jibu hoja tuone nani anaonekana mjuaji hapa.
Huyu ndio mwanasheria sasa sio yule AG."Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna...
Asante tumekusoma"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA...
Rugemeleza Nshala ni miongoni mwa wazalendo adimu wenye akili na uchungu mkubwa na taifa letu."Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa, kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA, this is nonsense, itategemea vipi HGA wakati IGA...
kama waliusoma basi ni rushwa na ubinafsi ndo vilitawala.hili bunge lote lisirudi tena mjengoni na muungano uvunjwe haraka kwa maslahi ya tanganyika.kumekucha hawa waliosaini mkataba hivi hawakusoma aiseeeee!
Kwanini serikali isiwe inaomba ushauri kwa vichwa kama hivi vya Wazalendo kama mwanasheria Rugemeleza kupitia mkataba kabla ya kusaini?"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA ...
Huwezi kuomba ushauri kwa watu independent kama malengo yako ni kuuza nchiKwanini serikali isiwe inaomba ushauri kwa vichwa kama hivi vya Wazalendo kama mwanasheria Rugemeleza kupitia mkataba kabla ya kusaini?
Wapeni wazalendo kama huyu mkataba wa LNG waupitie kabla hamtuingiza kilenge na Kule pia.
Isipokuwa wewe, na mwenzako Steven Joel Ntamusana' ndio mmebaki kuwa msiojua kitu!Kila mtu mjuaji sasa😆😆😆😆
Walifahamu fika wanachokifanya.
.Tangia tunatangazwa "bure" kwenye lile jengo refu duniani.
Haya weka hoja za upande unaoamini tuzione hapa,acha maneno mengiNa wewe je? Una PhD ya wapi? Au bendera tu?!!!
Kila mmoja anachukua na kuziamini hoja za upande anaoutaka inavyoonekana, km n hivyo basi endelea kushabikia huko ulikoamini......simple!
Ukweli unatabia ya kuchelewa tu lakini mara zote huwa unakuja baada ya utawala wa uongoJob Ndugai tumnyonge ila haki yake apewe, hii mikataba ya kizezeta aliijua mapema, sema mdomo ulimponza.
Leo ndo naelewa Kwa Nini akina Msukuma walimwijia juu Kwa kuvujisha uozo...
View attachment 2678903
Nani kakosea? Wamekusudia sio kwamba wamekoseaTumepigwa na kitu kizito . Na ubaya walio kosea wamekaza shingo.. hadi ziwavunjike